KIVUKO CHA MWAYA-KAJUNJUMELE KUANZA KAZI HIVI PUNDE+video
 Mbunge wa Kyela, Ali Mlagila akihoji bungeni ni lini kivuko cha Mwaya-Kajunjumele jimboni humo kitaanza kufanya kazi?Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 27,...
View ArticleBENKI YA NMB YASHIRIKI WIKI YA UBUNIFU 2023-DODOMA
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati – Nsolo Mlozi akimueleza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule alipotembelea banda lao kuhusu masuluhisho yao ya kidijitali katika viwanja vya Jamhuri...
View ArticleJUMUIYA YA WAZAZI CCM KAGERA YATOA MAAGIZO KABU ZIANZISHWE SHULENI KUWAJENGA...
Wanafunzi wa Sekondari ya Bukoba walioshiriki katika kongamano hilo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi (CCM) Mkoa wa Kagera Alphonsina Barongo akizungumza katika kongamanoNa Alodia...
View ArticleDKT. KAIJAGE: MUUNDO WA UTUMISHI WA MADAKTARI BINGWA UPITIWE UPYA+video
Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Alice Kaijage ameihoji serikali bungeni Aprili 28, 2023 kwamba haioni haja ya kuupitia tena muundo wa utumishi wa madaktari bingwa wa mwaka 2022?Amehoji hilo wakati wa...
View ArticleSERIKALI YAKUBALI KUTENGA FEDHA UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA HADI SANGAMBI+video
 Mbunge wa Lupa, Chunya, Masache Kasaka leo bungeni ameibana serikali kwamba itenge fedha za ujenzi wa barabara ya kutoka Chunya Mjini hadi Sangambi kwa kiwango cha changarawe.Akijibu kwa niaba ya...
View ArticlePROF. NDAKIDEMI ATAKA SERIKALI IJENGE VITUO ATAMIZI KATIKA VYUO VIKUU?+video
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi amehoji bungeniDodoma leo Aprili 28, 2023, kwamba serikali ina mpango gani wa kujenga ama kuboresha vituo atamizi katika vyuo vikuu? na hatimaye...
View ArticleBAJETI WIZARA YA MADINI YAPITA KWA KISHINDO, WAZIRI BITEKO APONGEZWA+video
Bajeti ya Wizara ya Madini imepitishwa kwa kishindo na wabunge bungeni Dodoma leo Aprili 28, 2023 iliyowasilishwa na Waziri Dkt. Dotto Biteko.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya...
View ArticleWCF YATWAA TUZO SIKU YA KIMATAIFA YA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, MOROGOROMFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetwaa tuzo ya Mfuko Bora miongoni mwa Taasisi za Bima na Fidia wakati wa kilele cha Siku ya Kimataifa ya Afya na Usalama...
View ArticleNAWASHUKURU WCF KWA KUNIWEZESHA KUYAMUDU MAISHA"-MNUFAIKA WA FIDIA
 NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, MOROGORO.MNUFAIKA wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Deus Anthony, ameushukuru Mfuko huo kwa kumuwezesha kuyamudu maisha licha ya kupata Ulemavu wa Kudumu...
View ArticleRAIS SAMIA AWAONGEZA DAU SIMBA NA YANGA, BAO NDANI YA DAKIKA 90 MILIONI 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo...
View ArticleTAARIFA YA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO NCHINI CHINA
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, pamoja na ujumbe wake Tarehe 17 hadi 28 Aprili, 2023 amefanya Ziara ya Kikazi na Mafunzo nchini China, ambapo walitembelea majimbo...
View ArticleSIMBA YATOLEWA NA WYDAD CASABLANCA
Klabu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye Mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL). baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati bao 4-3 baada...
View ArticleCCM Blog: MAGAZETI YA TANZANIA BARA, ZANZIBAR NA NCHI ZA NG'AMBO, LEO J'MOSI,...
Gazeti la UHURU👆 leo tena lipo kote, likiwa limesheheni Habari za Ukweli na Uhakika. ukilikosa tusilaumiane!Â
View ArticlePSSSF YATWAA TUZO YA UZINGATIAJI SAHIHI WA SERA YA USALAMA NA AFYA MAHALI PA...
Na K-VIS Blog/Khalfan Said, MorogoroMfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetwaa tuzo ya mshindi wa kwanza kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa kuwa na Sera Bora za Usalama na...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WCF AKUTANA NA WANUFAIKA WA FIDIA INAYOTOLEWA NA MFUKO HUO
Na K-VIS Blog/Khalfan Said, MorogoroMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Wanufaika wa Fidia inayotolewa na Mfuko huo,...
View ArticleRAIS DK. MWINYI ATOLEA UFAFANUZI ENEO LA KILIMANI, ASISITIZA HUDUMA ZA AFYA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika ufafanuzi wake juu ya ziara aliyoifanya tarehe 10 Julai 2021 kwa wakaazi wa nyumba chakavu za Kilimani kusikiliza...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AMJULIA HALI NAIBU WAZIRI ALIYEPATA AJALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali...
View ArticleCCM Blog: MAGAZETI YA TANZANIA BARA, Z'BAR NA YA NCHI ZA NG'AMBO, LEO...
Gazeti la MZALENDO👆 leo tena lipo nchi nzima likiwa na Habari za kina za Ukweli na Uhakika. Tafadhali hakikisha unapata nakala yako mapema!
View ArticleMADHARA YA VIPODOZI VYA NANO
Na Yahya MsangiNianze kwa kusema teknolojia ya nano (nanotechnology) inatumika kwa bidhaa mbalimbali mfano nguo, matairi, rangi za kuta na magari, bodi za ndège, Meli, treni na magari, sementi,...
View ArticleDKT BITEKO, MALECELA WAAHIDI KUIFUFUA SHULE YA KURIO+video
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Dodoma, Samwel Malecela (kushoto) akitoa maelezo kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Waziri wa Madini, Dkt Dotto Biteko kuhusu shule ya Kurio iliyotelekezwa...
View Article