Quantcast
Channel: CCM Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 22431

DKT. KAIJAGE: MUUNDO WA UTUMISHI WA MADAKTARI BINGWA UPITIWE UPYA+video

$
0
0


Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Alice Kaijage ameihoji serikali bungeni Aprili 28, 2023 kwamba haioni haja ya kuupitia tena muundo wa utumishi wa madaktari bingwa wa mwaka 2022?

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu kupitia Wizara ya Afya.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

Viewing all articles
Browse latest Browse all 22431

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>