Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22431 articles
Browse latest View live
↧

TWAHA KIDUKU AMGALAGAZA BONDIA WA GEORGIA KWA POINTI+video

 BONDIA Twaha Kassim Rubaha 'Twaha Kiduku' usiku wa jana amefanikiwa kutetea taji lake la Mabara la UBO baada ya kumchapa kwa kumshinda kwa pointi Iago Kiziria wa Georgia katika pambano lililofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KOMREDI CHONGOLO NCHINI CHINA

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ameendelea na ziara kikazi nchini China huku akiongozana na viongozi wengine wa CCM, wakiwemo Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC, Wenyeviti wa Mkoa pamoja na Wenyeviti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIYO MOSHI ULIOSABABISHA MTANANGE WA SIMBA WYDAD KUSIMAMA+video

Moshi huu ulisababishwa na mashabiki wa Wydad Casablanca baada kufyatua mafataki wakati wa mechi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga na timu hiyo kwenye Uwanja wa Mkapa jijijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA MIPANGO OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI AFARIKI DUNIA KWA...

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Blog: CCM Blog: MAGAZETI MAKUBWA YA TANZANIA BARA, ZANZIBAR NA NCHI ZA...

Gazeti la UHURU👆 leo tena lipo mjini na Vijijini kote, likiwa limesheheni Habari za Ukweli na Uhakika. ukilikosa tusilaumiane! 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KIDEDEA YAIBAMIZA RIVERS MBILI KWA NUNGE

 MABAO ya mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele kipindi cha pili yameipa Yanga ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Rivers United katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI KKKT ALIFAGILIA KANISA HALISI KWA KUHIMIZA IBADA NA UZALISHAJI, NI...

Na Bashir Nkoromo, TegetaIbada iliyoongozwa na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi la Mungu Baba Ndani na Nje ya Tanzania, Baba Halisi, katika Kao Kuu la Kanisa hilo, Tegeta Namanga Jijini Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE TOUFIQ ATA UFANYIKE UTAFITI KUPATA KINGA YA SARATANI YA KIZAZI,...

Mbunge wa Viti Maalumu, Fatma Toufiq akihoji bungeni Dodoma Aprili 24, 2023, kwamba serikali ina mkakati gani wa kufanya utafiti kupata kinga ya saratani ya kizazi na matiti?IMEANDALIWA NA RICHARD...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA WAZIRI MKIU WA ETHIOPIA, IKULU NDOGO...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa  Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed uliowasilishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MPOGOLO ASHUHUDIA UTOAJI CHANJO KWA WATOTO ULIOANZA LEO WILAYANI ILALA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo, akishuhudia utoaji chanjo kwa mtoto wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Chanjo ambayo kiwilaya hiyo ulifanyika katika Zahanati ya Kitunda. Chanjo zimeanza kutolewa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Blog: MAGAZETI MAKUBWA YA TANZANIA BARA, ZANZIBAR NA NCHI ZA NG'AMBO, LEO...

Gazeti la UHURU👆 leo tena lipo kote, likiwa limesheheni Habari za Ukweli na Uhakika. ukilikosa tusilaumiane! MM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MWINYI ATEUA MKURUGENZI ZBC

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGESSA APAMBANIA BUSANDA KUWA WILAYA+video

Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa akiliipambania jimbo la Busanda mkoani Geita   kuwa wilaya kutokana na kuwa na zaidi ya watu 700,000 na kata 24.Busanda ameyasema hayo wakati wa maswali na majibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIGWA AIKABIDHI YANGA MAMILIONI RAIS SAMIA

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (kulia) akimkabidhi Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe fedha taslimu Sh. Milioni 10 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WA MICHEZO WA NCHI 14 KUKUTANA ARUSHA

 TANZANIA itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa nchi 14 Wanachama wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika, Kanda ya Nne wa Mawaziri na Wakurugenzi wa Michezo utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 2 hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Blog: MAGAZETI YA TANZANIA BARA, ZANZIBAR NA NCHI ZA NG'AMBO, LEO...

Gazeti la UHURU👆 leo tena lipo kote, likiwa limesheheni Habari za Ukweli na Uhakika. ukilikosa tusilaumiane! 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KAGAME WA RWABDA, IKULU...

Na Bashir Nkoromo, CCM BlogRais Samia Suluhu Hassan atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye anawasili Jijini Dar es Salaam, leo Alhamis Aprili 27, 2023, kutafanya ziara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHONGOLO: CCM ITAENDELEA KUUENZI NA KUULINDA MUUNGANO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, akisisitiza kuwa Watanzania wataendelea kuuenzi na kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa ajili ya manufaa ya sasa na ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOMA KUPELEKEWA UMEME KATIKA SHULE, TAASISI ZA SERIKALI+video

Mbunge wa Viti Maalumu, Josephine Genzabuke ameiomba serikali kupeleka umeme katika shule na taasisi za umma katika Mkoa wa Kigoma.Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS KZGZME IKJLU JIJINI DAR ES SALAAM. LEI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27...

View Article
Browsing all 22431 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>