MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO MJINI DODOMA
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kufungua na kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika ukumbi wa Jengo la White House mjini Dodoma....
View ArticlePRESS RELEASE
Statement by the Press Secretary on the President’s Travel to Africa President Obama and the First Lady look forward to traveling to Senegal, South Africa, and Tanzania from June 26 - July 3. The...
View ArticleDK. ASHA-ROSE AZUNGUMZA NA WAANDISHI MJINI DODOMA LEO
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia kuhusu yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu...
View ArticleNAPE NDANI YA MIAKA 150 YA SPD
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akipokelewa na viongozi wa SPD, mjini Leipzig leo kwenye sherehe za miaka 150 tangu kuanzishwa kwa SPD
View ArticleHAKUNA JAMII ITAKAYOACHWA NYUMA KIMAENDELEO: TANZANIA
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi, akizungumza wakati wa Mkutano wa 12 wa Masuala ya Wazawa, kuhusu mada ya utafiti uliofanywa kuhusu Ujasiri,...
View ArticleKINANA, NAPE WATUA IRINGA TAYARI KWA ZIARA KAZI MKOANI MKOANI NJOMBE
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakisalimia baadhi ya viongozi, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Iringa asubuhi hii, kwa ajili ya kuanza...
View ArticleKINANA AWASILI NJOMBE TAYARI KWA ZIARA YA SIKU SABA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Njombe Kaskazini,Mh Deo Sanga a.k.a Jah People mara baada ya kuwasili jioni ya leo mpakani mwa Mkoa wa Iringa na Njombe katika kijiji...
View ArticleKINANA KUHUTUBIA WANANCHI WA LUDEWA LEO
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,akifahamishwa jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe,Deo Sanga,kushoto ni Katibu wa Uchumi na Fedha Ndugu Clemence Malekela.Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu...
View ArticleKAMPENI ZA CCM KUGOMBEA KITI CHA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA...
WanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Chambani Wakimsiliza Mgeni Rasmi wakati akiuhutubia Umma katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Kiti cha Ubunge Jimbo la Chambani Mkoani...
View ArticleArticle 6
Umati mkubwa wa Wanaccm na Wananchi wa Jimbo la Chambani wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe: Balozi Seif Iddi ambae hayupo pichani...
View ArticleArticle 5
Vijana wakisoma Utenzi mbele ya Mgeni rasmi, wakati wa mkutano wa hadhara katika uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chambani Mkoani Pemba.
View ArticleArticle 4
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mgeni Rasmi wakati wa Kampeni za Uzinduzi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chambani.
View ArticleArticle 3
Mgeni rasmi Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Wanaccm na Wananchi wa Jimbo la Chambani wakati wa Mkutano wa Hadhara katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo hilo.
View ArticleArticle 2
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mgombea wa CCM wa Kiti cha Ubunge wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chambani Ndg. Mattar...
View ArticleArticle 1
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe: Balozi Seif Ali Iddi akimtambulisha Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM wa Jimbo la Chambani Ndg. Mattar Zahran Said...
View ArticleArticle 0
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndg. Mattar Zahran Said akihutubia Wananchi na Wanaccm na kujidani huku akiomba ridhaa ya wananchi wamchague ili wakiwawakilishe Bungeni katika...
View ArticleZIARA YA KINANA, NAPE YATIKISA MKOANI NJOMBE
*Akagua ufukwe wa ziwa Nyansa katika mwambao wa ziwa hilo kwenye kijiji cha Lupingu, wilayani Ludewa, na kuwambia wananchi wasihofu na maneno Malawi kuhusu ziwa hilo, Serikali ipo imara kuwalinda usiku...
View ArticleKINANA: CCM KUTEKELEZA AHADI ZOTE ILIZOAHIDI
Kikundi cha Sanaa cha SUMASESU cha kijiji cha Ukwama kikitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara,tarehe 30 Mei 2013.Mkuu wa Wilaya ya Makete Ndugu Josephine Matiro akisalimia wananchi wa kijiji...
View ArticleVIONGOZI WA CCM WATAKIWA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA MASHINA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ,akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Makete,Ndugu Josephine Matiro na viongozi wengine wa CCM wa Wilaya ya Makete na Mkoa wa Njombe kwenda nyumbani kwa mabalozi...
View ArticleWAKAZI WA NJOMBE WASEMA HAKUNA NAFASI YA WAPINZANI
Zahanati ya Kiji cha Samaria ikiwa katika hatua nzuri za ujenzi, Zahanati hii inajengwa kwa fedha za Halmashauri kwa kushirikiana na wananchi.Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana ,pamoja na...
View Article