NAPE: CHADEMA WANAUGUA KIFAFA CHA SIASA
*Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi*Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa.*Ataka watanzania kuwapuuza*Amuumbua Tundu Lissu*Atetea mchakato wa katiba nchiniNape...
View ArticleCHADEMA HOI MBEYA
*OFISI YAKE YA MKOA YATIWA KUFULI*KISA DENI LA SH. 360,000 TU ZA PANGO!DK, SLAAMBEYA, Tanzania. OFISI ya CHADEMA mkoa wa Mbeya, iliyopo eneo la Forest jijini hapa, imefungwa kutokana na Chama hicho...
View ArticleBALOZI WA SUDANI NCHINI AMTEMBELEA MANGULA LEO
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akizungumza na Balozi wa Sudani nchini, Dr. Yassir M. Ali leo katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba.Balozi wa Sudan nchini,Dk.Yassir M. Ali akiwa kwenye...
View ArticleRAIS KIKWETE AKATIZA ZIARA YA KUWAIT KUFUATIA SHAMBULIO LA KIGAIDI LA ARUSHA...
NA BASHIR NKOROMORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Mei 6, 2013, ameamua kukatiza ziara yake ya Kiserikali nchini Kuwait ili kurejea nyumbani...
View ArticleCCM YALAANI VIKALI SHAMBULIO LA BOMU ARUSHA
Ndugu KinanaDODOMA,TanzaniaCHAMA cha Mapinduzi CCM kimelaani vikali tukio la kutupwa kwa bomu katika Uzinduzi wa kanisa la Mtakatifu Joseph Arusha na kuua watu watattu.Mbali na hivyo imeitaka serikali...
View ArticleMPOKEZI YA DK. KAFUMU IGUNGA YAFUNIKA
*MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI*CCM YAAHIDI KUTEKELEZA AHADI ZOTE KABLA YA 2015*NAPE ATAKA VYAMA VYENYE MLENGO WA UGAIDI VISUWEDk. Kafumu akiwasalimia wananchi kwenye mkutano huo.Kushoto ni Katibu wa NEC,...
View ArticleWATANZANIA WENGI JIJI LA CARDIFF-WALES (UK) WAJIUNGA NA CCM.
Katika ufunguzi huo Jumamosi tarehe 11 Mei 2013 ulijaa shamrashamra na nderemo na kuhudhuriwa na viongozi wote wa Tawi la CCM UK, Mwenyekiti wa Tawi la CCM UNITED KINGDOM Ndg Maina Ang'iela Owino,...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA SAYANSI KATIKA KITUO CHA TAASISI YA KIMATAIFA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi jengo la sayansi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 13,...
View ArticleMKURUGENZI WA FES NCHINI AIPONGEZA CCM KWA KUJENGA DEMOKRASIA NCHINI
Mkurugenzi Mkazi wa FES nchini, Rolf Paasch (Kulia)akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM -Bara Ndugu Philip Mangula,leo katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.SHIRIKA la Kijerumani la Friedrich Ebert...
View ArticleCCM YAWAPONGEZA VIONGOZI WA DINI
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana jana Mjini Dodoma imeipongeza serikali kwa hatua inayoendelea kuchukua katika kuchunguza chanzo cha tukio la mlipuko wa Bomu uliotokea Kanisani Jijini...
View ArticleUNESCO YAENDESHA WARSHA KUHUSU RIPOTI YA HALI YA ELIMU NA HUDUMA ZA AFYA YA...
Mwenyekiti wa TACAIDS Dk. Fatma Mrisho (katikati) akizungumza wakati kufungua warsha siku moja ya mapitio na uhakikisho wa Ripoti ya hali ya Elimu na Huduma za Afya ya uzazi, maadili na mahusiano ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA LISHE LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akisalimiana kitabu cha kampeni ya Lishe Tanzania baada ya kukizindua leo Machi 16, 2013...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AFANYA KIKAO MUHIMU NA WABUNGE WA CCM LEO...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini wakati wa kikao chake na wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi wa jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wengine...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALLY SYKES JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MZEE ALLY KLEIST...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mei 19, 2013 Chama Cha Mapinduzi kilifanya kikao cha siku moja na wabunge wanaotokana na CCM, kikao hicho kilifanyika mjini Dodoma ambapo pamoja na viongozi wengine wa juu wa CCM kikao hicho...
View ArticleCCM YATOA ONYO KWA WANAOJIPITISHA PITISHA NA KUJITANGAZIA NAFASI ZA URAIS...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaonya na kuwapiga marufuku, makada na wanachama...
View Article