Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22444 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wakazi wa Njombe nje ya ofisi za CCM wilaya.Wenyeviti wa Zamani wa CCM wilaya ya Njombe wakifurahia salaam za KatibuMkuu alipowasili kwenye Makao Makuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi baada ya kufungua tawi la CCM la Kitongoji cha Wangamiko, Kata ya Malangali wilaya ya Wanging'ombe, Machi 31, 2013, akiwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINANA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kimama akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa michezo mjini Makambako mkoani Njombe. Katibu wa NEC,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA BADAYE MKUTANO MKUBWA WA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Songea Mjini, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi baada ya kuwasili mjini Songea leo kwa ajili ya ziara ya siku moja. Kinana...

View Article

Article 2

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA MASHINA, MATAWI NA KATA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungua mikono wajumbe, alipowasili kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea kufungua semina ya viongozi wa CCM ngazi za mashina, matawi na kata wa wilaya ya...

View Article

Article 0

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI AMPASHA SEIF SHARIF

TAARIFA RASMI.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na baadhi ya kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AIZAMISHA CHADEMA SENGEREMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishuka kutoka kwenye kivuko cha MV Sengerema tayari kufungua kampeni za udiwani kata ya Nyampulukano.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimia na wakazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUONEKANIKO WA JUA LIKIZAMA LEO ZIWA VICTORIA

Jua likizama taratibu jioni ya leo na kuleta mandhari nzuri katika ziwa Victoria.Moja ya vivutio vyetu vya utalii ni ziwa Victoria, pichani muonekaniko wake wa jioni wakati jua linazama.Muonekaniko wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi...

View Article

RASIM YA KATIBA MPYA, ILKIYOZINDULIWA NA SERIKALI JUNI 3, 2013

Raimu hiyo ilizinduliwa mjini Dar es Salaam na Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal. Kuisoma rasimu hiyo, Tafadhali, BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania India na Singapre Injinia John  Kijazi na mbele yao ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WAWASILI DAR

 Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan hayupo pichani wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa makada wa vyuo mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar (pichani) anawaalika makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni kuhudhurua katika mahafali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE : KILA LA KHERI TAIFA STARS

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeitakia kila la kheri timu ya Taifa Stars ambayo inacheza  kutafuta tiketi ya kucheza kombe la dunia mwaka 2014.Taifa Stars katika mechi yake ya kesho itavaana na Timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM DAR YAKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida,akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisticha Vietnam, Hoang Binh Quan, Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leoKushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA DAR

 MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni, lilofanyika...

View Article
Browsing all 22444 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>