Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUE DK. JOHN MAGUFULI, MGOMBEA URAIS 2015 KWA TIKETI YA CCM

View Article



SEHEMU YA HOTUBA YA MAGUFULI KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM(VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.Mwigulu Nchemba akisainii kitabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MAGUFULI ATUA ZANZIBAR KUTAMBULISHWA, APOKEWA KWA KISHINDO

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipanda ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar kutambulishwa kwa wanachama, leo Mgombea Urais...

View Article

MCHEKI BORAFYA ALIVYOZUNGUMZA WAKATI WA KUMKARIBISHA MAGUFULI ZANZIBAR (VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO USWIS

 Wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa  Geneva wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya...

View Article

HOTUBA YA MHE. JOHN POMBE MAGUFULI MGOMBEA WA CCM KWA URAIS WA JAMHURI YA...

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DK. JOHN POMBE MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM BLOG INAWATAKIA EID EL FITR NJEMA WADAU WOOOTE NDANI NA NJE YA TANZANIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WA KICHINA WASALIMIANA NA RAIS IKULU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Xu Zhuogun (kushoto) Kiongozi wa Ujumbe wa madaktari wapya wa Kichina  waliofika Ikulu mjini Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR, ALHAJI DK. SHEIN AONGOZA WAISAM KATIKA SWALA YA EID ELHAJ...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la kikosi cha Polisi FFU leo wakati wa Baraza la Idd katika Kusherehekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALA PILAU YA BATA NYUMBANI KWA BASHIR NKOROMO, MBEZI BEACH A, KATA YA KAWE...

 Familia ya Bashir Nkoromo, wakiwa wanamalizia kula pilau ya bata nyumbani kwake, Mbezi Beach A, Kawe jijini Dar es Salaam, kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr, leo Familia ya Bashir Nkoromo, wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APOKELEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA

Msafara wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ukiondoka uwanja eneo la uwanja wa ndege wa Mwanza kuelekea ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuwasalimu na kujitambulisha kwa...

View Article

MAGUFULI AWAELEZA WAKAZI WA MWANZA JUU YA MGOMBEA MWENZA (VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GEITA YASIMAMA MAPOKEZI YA MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Joseph Magufuli akipata mapokezi ya aina yake wakati akiwasili mkoni Geita. Wananchi wakiwa wamefurika kumpokea mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AWEKA HISTORIA KATORO APOKELEWA NA MAELFU CHATO

Wananchi wasimamisha msafara wake kila wakatiWabunge na Viongozi wa CCM wamuunga mkonoKuongea na wananchi mengi wakati wa kampeniAwaambia Ilani ya uchaguzi ya CCM imesheheni mambo ya msingi na...

View Article


MAGUFULI AKIHUTUBIA CHATO (VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASSENGA ATANGAZA NIA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO, ALI KIBA AMPIGA TAFU

 Kada wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AWAAGA RASMI WAKAZI WA MJI MDOGO WA MGANZA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kata ya Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza sehemu...

View Article

VIDEO INAYOMUONYESHA MAGUFULI AKIWASILI MKOANI GEITA KWA MARA YA KWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UANDIKISHAJI WANANCHI BVR KUANZA LEO DAR ES SALAAM

Kazi ya kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapigakura inaanza leo katika mkoa wa Dar es Salaam, ewe mwananchi hii ni fursa yako ili uweze kupata haki ya kuwa mpigakura katika uchaguzi...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images