JK AZINDUA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Rais Jakaya Kikwete akilihutubia Bunge Mjini Dodoma, leo, Julai 9, 2015 Rais Jakaya Kikwete akilihutubia Bunge Mjini Dodoma, leo, Julai 9, 2015. Kulia ni Spika wa Bunge Anna Makinda Makamu wa Rais Dk...
View ArticleWAHUNI WAMTENGENEZEA NAPE AKAUNTI FEKI KUJARIBU KUKIDHI KIU YAO
Kitengo chaMawasiliano na Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi, kinapenda kuujulisha uuma kwamba Akaunti yenye maneno hayo hayo hapo juu siyo ya Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape Nnauye, bali...
View ArticleURAIS CCM: VIKAO VYAFANYIKA LEO, MKUTANO MKUU KESHO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaeleza waandishi wa habari kuwa...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM YAKUTANA JIONI HII KUTEUA MAJINA MATANO YA WAOMBA KUGOMBEA...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa amewasili ukumbi tayari kwa kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM, cha kuteua wagombea watano, kwa ajili ya kupelekwa katika Kikao Cha Halmashauri Kuu ya...
View ArticleKAMANDA WA JIMBO LA CHUMBUNI AFUTURISHA WANANCHI WA JIMBO LAKE
Kamanda wa Jimbo la Chumbuni UVCCM Ndg Ussi Salum Pondeza Hanjad akikaribisha wageni wake katika futari aliowaandalia Wananchi wa Chumbuni ikiwa ni kawaida yake kila mwaka hujumuika na Wananchi hao...
View ArticleTANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA UTUMISHI WA JUMUIYA YA MADOLA
Na Pius Yalula-MAELEZOTanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa watumishi wa umma wa nchi za Afrika ambazo ni wanachama Jumuiya ya Madola utakaonza Jumatatu ijayo jijini Dar es...
View ArticleURAIS CCM: JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO KUCHAGUA TATU BORA WATAKAOPELEKWA...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wajumbe baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo katika Ukumbi wa jengo la White House mjini Dodoma. Kikao hicho...
View ArticleMKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU MJINI DODOMA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na...
View ArticleWAJUMBE WAANZA KUINGIA KWENYE UKUMBI WA MKUTANO HUKU MAJINA MATATU YAKIWA...
Majina yaliopitishwa kupigiwa kura kwenye mkutano mkuu CCM kuwa live kutoka ukumbini Ukumbi ukiwa umeandaliwa vizuriWajumbe wakipitia magazeti ya Uhuru.
View ArticleMKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM...
Mmoja wa waomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM, waliotinga tatu bora, Dk. John Magufuli akingia katika ukumbi wa Kisasa wa mikutano wa CCM, mjini Dodoma, wakati wa mkutano mkuu wa CCM, uliofanya...
View ArticleMAGUFULI RASMI KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM
Baada ya mda si mrefu tutaweka picha nyingine kem kem za kutangazwa matokeo yaliyompa ushindi, Dk. John Magufuli
View ArticleCCM YAANZA KUMTANGAZA MGOMBEA WAKE WA URAIS DK. JOHN MAGUFULI
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma...
View ArticleDK. SHEIN APOKELEWA KWA SHANGWE ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa...
View ArticleMAGUFULI AITEKA DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam akimpokea Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kujitambulisha kwa wakazi wa jiji...
View Article