KINANA ATIMU VUMBI AKIKAGUA NA KUHIMIZA MAENDELEO JIMBO LA NYAMAGANA, LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasli katika Uwanja wa CCM Kirumba, kuzungumza na Mamalishe, Machinga na waendesha bodaboda, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai...
View ArticleKINANA KUHUTUBIA MKUTANO WA KIHISTORIA LEO JIJINI MWANZA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo atahutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha na kurushwa live katika vituo vitatu...
View ArticleKINANA ATIA FORA MWANZA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANONI UWANJA WA FURAHISHA,...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA WILAYANI UKEREWE ATEMBELEA KISIWA CHA IRUGWA NA UKARA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor wakati wakielekea kwenye visiwa vya Irugwa wilayani Ukerewe.Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleKINANA AWAACHIA UJUMBE MZITO CCM UKEREWE
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi...
View ArticleSEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YAFANYIKA VITUKA JIMBO LA TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa...
View ArticleDC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya...
View ArticleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU...
Imetayarishwa na theNkoromo Blog WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UHABARISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWENYE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez...
View ArticleBRIGHTERMONDAY TANZANIA YATOA FURSA KWA WANAOTAFUTA AJIRA KUWATEMBELEA KWENYE...
Meneja Masoko wa kampuni ya Brightermonday Tanzania, Lugendo Khalfan ndani ya hema la banda la Jakaya Kikwete akiwa tayari kukuhudumia wewe mtanzania utakayetembelea banda lao katika viwanja vya...
View ArticleKAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA DKT. SHEIN KUGOMBEA URAIS KWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu...
View ArticleMUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA...
Na Benedict Liwenga, Maelezo.Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni (Pichani), kuwa msimamizi wa kuongoza juhudi za kupatanisha makundi nchini...
View ArticleDK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya Ikulu...
View ArticleKIKWETE AWASILI DODOMA MCHANA HUU TAYARI KWA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA...
Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama. Mwenyekiti wa CCM...
View ArticleMOHAMMED DEWJI AWAAGA RASMI WAKAZI WA SINGIDA MJINI
Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA WATANGAZA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA
UNTED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME What is the UN Young Professionals Programme?The Young Professionals Programme (YPP) is a recruitment initiative for talented, highly qualified professionals...
View Article