SAFARI YA MAGUFULI KUTOKA CHATO KUREJEA DODOMA KWA GARI YAWAVUTIA WANANCHI WENGI
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa kaya ya Masumbe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakati akiwa njiani kurejea Dodoma. Wananchi wa Kahama wakiwa wamejitokeza kwa wingi...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGWA NA MABALOZI WA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN, IKULU JIJINI DAR...
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleMDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI WA TANZANIA AONGOZA KIKAO CHA...
 Mdhibiti na  Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na ambaye pia ni Mwenyekiti wa  Bodi ya  Ukaguzi ya  Umoja wa  Mataifa, Bw.Mussa Juma Assad akizungumza wakati wa hitimisho la mkutano wa siku mbili wa...
View ArticleMAGUFULI ASIMAMISHWA KILA MAHALA AKIWA NJIANI KUREJEA DAR ES SALAAM
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibaigwa mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea Dar es salaam. Wananchi wa Dumila wakifurahia ujio wa...
View ArticleCATHERINE MAGIGE TUMUUNGE MKONO DK.MAGUFULI NDIO CHAGUO LA CCM
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha akizungumza jana katika mkutano wa wagombea Ubunge 12 kupitia chama cha mapinduzi waliofanya ziara ya kujinadi kwa wananchama...
View ArticleRAIS KIKWETE AFANYA ZIARA YA KISERIKALI AUSTRALIA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini...
View ArticleBALOZI LIBERATA MULAMULA AWAAGA RASMI WATANZANIA WAISHIO MAREKANI
Na Mwandishi MaalumKatibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Liberata Mulamula (Pichani), amewaaga watanzania waishio nchini Marekani, kwa kuwataka kujivunia...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe  28 Julai 2015  katika makao  Makuu ya kiongozi  huyo  jijini Sydney Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleMUSEVEN, FORMER AFRICAN PRESIDENTS TO DISCUS STEPS TO TAKE FOR AFRICA'S...
An integrated continent has been the goal of African countries since the attainment of independence more than 50 years ago. Arguments for speeding up the integration process have been advanced by many,...
View ArticleCCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA PAMOJA NA RASILIMALI...
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis 'Gadafi' akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam kimeitaka Tume...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISiku za hivi karibuni kumeibuka baadhi ya watu ambao wamekuwa kwa makusudi na kwa malengo maalum wakitunga na kujiandikia taarifa, za uongo, kujenga hofu na au kupotosha na...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA - AUSTRALIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya...
View ArticleNYALANDU AJIVUNIA MAFANIKIO MAKUBWA SINGIDA KASKAZINI
Na Mwandishi wetuKATIBU CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku, amesema mchakato wa kampeni kwa wagombea wanaowania ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini, unaendelea vizuri.Pia, amesema changamoto...
View ArticleMAFISADI WAHAHA KUMZUIA NAPE MTAMA
Ikiwa imebaki siku moja kufanyika kwa kura za maoni Ubunge wa Jimbo la Mtama ,kumekuwa na michezo ya kumchafua kisiasa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye ni mmoja wa wagombea wenye...
View Article