Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya  Sayed Corporation Limited  kwa ajili ya hospitali ya  Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MBUNGE WA UKONGA AFARIKI DUNIA MJINI DODOMA

Taarifa zilizotufikia sasa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa amefariki dunia leo mjini Dodoma.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA KUANZA KESHO ZIARA YA SIKU 28 KATIKA MIKOA YA KAGERA,GEITA NA MWANZA

Itakuwa hitimisho la ziara za kila jimbo nchi nzimaAtaanza ziara tarehe 4 Juni na basi maalumAtasimama Morogoro,Dodoma,Singida ,Nzega na Kahama atasalimia wanachama Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA ASIMAMA MOROGORO KUWASALIMU WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera. Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AENDELEA NA SAFARI YA KUELEKEA MKOANI KAGERA AWASALIMIA WANANCHI...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na wananchi kwenye kituo cha basi Dodoma mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Dodoma waliojitokeza kumpokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI MKOANI KAGERA SALAMA KWA BASI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Ndugu Idd Ame wakati wa mapokezi katika mkoa wa Kagera.Katibu Mkuu wa CCM anahitimisha ziara katika mikoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA WAFUGAJI NYAKANAZI

Asikitishwa na kutopatikana kwa ufumbuzi wa mgogoro kati ya wafugaji na hifadhiWafugaji wamwambia Kinana wamekaa vikao 17 na viongozi wakubwa wa kitaifa lakini hakuna utatuzi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

View Article

KINANA ALIPOHUTUBIA STENDI YA BASI DODOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA KAGERA (VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWAPA POLE FAMILIA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA BUKOBA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo ya Mzee Samuel Luangisa aliyefariki  Jumatatu Mei 25,2015 saa tano asubuhi jijini New York. Mzee Samuel N. Luangisa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KINANA WAFANA MANISPAA YA BUKOBA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wananchi waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza  kwenye uwanja wa Uhuru Platform mjini Bukoba .Katibu Mkuu wa CCM amefanya ziara katika Jimbo la...

View Article

RUKSA KUSHIRIKI MIDAHALO KWA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

View Article

HOTUBA YA KINANA BUKOBA MJINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA KINANA KUTOKA KYAMKWIKWI KWENDA KISIWA CHA BUMBILE, WILAYANI MULEBA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili  Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera leo, kabla ya kupanda boti kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AFUNGA KAZI MULEBA, AZURU VISIWA ZAIDI YA VINNE, MKUTANO WAKE WAFURIKA...

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwa mtumbwi katika kijiji cha Katunguru, baada ya kutembelea visiwa zaidi ya vinne, katika wilaya ya Muleba, leo akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA YAONGEZA MATUMAINI KWA WANANCHI MULEBA, AWATAKA WANANCHI...

*AWAFAGILIA WABUNGE MWIJAGE NA PROFESA ANNA TIBAIJUKA*ASEMA WAMEFANYA MAKUBWA KATIKA MAJIMBO YAO Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa amezungukwa na umati wa wananchi, alipohutubia mkutano wa...

View Article


SEHEMU YA HOTUBA YA KINANA MULEBA MJINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ACHAPA KAZI YA MAANA KATIKA JIMBO LA BUKOBA VIJIJINI MKOANI KAGERA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili Bukoba Vijijini kuendelea na ziara yake katika mkoa wa Kagera kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na...

View Article


WANAKWAYA WA KATA MPYA YA RUKOMA WAMPA UJUMBE MZITO KINANA

View Article

WANANCHI KEMONDO WATOA DUKU DUKU LAO KWA KINANA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA YALIOANDIKWA NA MAGAZETI YA LEO JUNI 10

BOFYA HAPA KUSOMA MENGINE ZAIDI

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images