Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA NEC YA CCM MJINI DODOMA LO

 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YAISHAURI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA SERIKALI KUZUNGUMZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti leo kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma, tarehe 23 Mei 2015....

View Article


SEHEMU YA HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA KWENYE KIKAO NEC MJINI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUENDELEA LEO MEI 24 MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwenye ukumbi wa NEC ,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

View Article

SEHEMU NYINGINE YA HOTUBA YA JK (VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO TENA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa CCM, Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, KISA KUTAKA URAIS 2015

Mwigulu Mchemba akiagana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mara baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) .

View Article

RATIBA YA MCHAKATO WA URAIS CCM YATAJWA

View Article


RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KWA WANACCM

RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KWA WANACCM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE: HATMA YA CCM IPO MIKONONI MWA VIJANA

Shirikisho lina Wajumbe 683Wanachama 31000Vijana wafurahi kupiga picha pamoja na Nape  Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULIKOTOKA: SIKU RAIS KIKWETE NA KOMREDI KINANA WALIPONG'ATUKA JESHINI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA NCHINI MSUMBIJI KUHIFADHI SELOUS

  Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN: MABALOZI WA TANZANIA TEKELEZENI VILIVYO SERA INAYOLENGA DIPLOMASIA...

Makamu a Pili wa Rais, Balozi Seif Iddi, kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga Mkutano wa Nne wa siku Tatu wa Mabalozi wa Tanzania uliokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMEKE YAKABIDHI MWENGE WA UHURU WILAYA YA ILALA SHAMRASHAMRA ZAPAMBA MOTO

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kumaliza mbio zake wilayani Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenge huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LAENDELEA VIZURI

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO.

Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza wakati wa kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI DAFTARI LA...

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA MATAIFA WA WAENZI WALINDA WA AMANI WALIOPOTEZA MAISHA 2014

Na MwandishiMaalum, New YorkMashujaa Private Ally SalumJumanne, Private Mohamed John Mbizi, Private Vasco Adrian Msigala na Sajent Hamis Juma Nyange kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GABRIEL MUNASA AONESHA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE

Jogging zawaweka wananchi wa Kawe pamoja Watumia mazoezi kama njia ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevyaKuhamasisha vijana wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kuraMakundi zaidi ya 20...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE: SUBIRINI KWA HAMU SIKU YANGU YA KUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS WIKI HII

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika...

View Article
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>