KINANA : WAFANYABIASHARA MPAKANI WAPUNGUZIWE VIKWAZO
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ikiwa muendelezo wa ziara za kujenga na kuimarisha chama, kukagua,kuhimiza...
View ArticleKINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA
Apewa taarifa ya maendeleo ya kiwanda tangu kilipoanzishwa na Baba wa Taifa mwaka 1982, kilipo binafsishwa mwaka 2011 na mpaka sasa.Aambiwa kuporomoka kwa dola ya kimarekani pamoja na kuingizwa sukari...
View ArticleKINANA ATINGA JIMBO LA KYERWA LEO, ATAKA MIRADI YA MAENDELEO ISIMAMIWE NA...
Wananchi wakimsalimia kwa shauku, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili Uwanja wa michezo, kuhutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kibingo, Kata ya Kaisho, akiwa katika ziara ya...
View ArticleKINANA AINGIA WILAYA YA NGARA LEO, AKAGUA MIRADI YAMAENDELEO NA KUTOA CHANJO...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa matone ya chanjo mtoto Benita Cosmas, wakati alipozindua utoaji matone ya chanjo kwa watoto chini ya miezi sita, katika Kituo cha Afya cha Kashinga, kata...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM, KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA, NI KWA KUTEMBELA...
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akikagua chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Nyakahura wilayni Biharamulo, mwishoni mwa ziara yake mkoani Kagera, leo Juni 14, 2015.Wapili kushoto ni Katibu wa...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA MKOANI GEITA, AANZIA WILAYA YA CHATU KWA KUFUNGUA MIRADI...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wake wa hadhara katika Viwanja vya Stendi katika mji mdogo wa Chato, mwanzoni mwa ziara yake ya kukagua...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU AFUNGUA MKUTANO WA WENYEVITI DAR ES...
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto) akifungua Mkutano wa wenyeviti , wenezi na wachumi wa matawi kilichofanyika kwa Jimi Agent Yombo Buza Dar es Salaam,  kuanzia kulia ni Katibu mwenezi...
View ArticleZIARA YA KINANA MKOANI GEITA, YATIKISA WILAYANI MBOGWE
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Kata ya Masumbwe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Mbogwe mkoani...
View ArticleKINANA AINGIA WILAYA YA NYANG'HWALE MKOANI GEITA, AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI...
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilayani Nyang'hwale, kuanza ziara katika wilaya hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO IDIA, AKUTANA NA WAWEKEZAJI
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace...
View ArticleKINANA APIGA KAZI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO, MIKUTANO YAFURIKA MAELFU YA...
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwasili katika viwanja vya stendi kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Katoro, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa...
View ArticleKINONDONI KUZINDUA LIGI LEO
MH: PAUL MAKONDA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI,Anawaomba Wanakinondoni wote na wakazi wa DSM katika kuandaa maandalizi ya Team za Wilaya ya Kinondoni zitakazo kuwa na wachezaji watakao lipwa mshahara;...
View ArticleKINANA AING'ARISHA GEITA, LEO ASHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO, MIKUTANO YAKE YA...
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi, Nyankumbu, katika Kata ya Kalangalala, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM...
View ArticleKINANA AANZA KWA KISHINDO ZIARA YAKE MKOA WA MWANZA LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akivishwa skafu na Kijana wa CCM, wakati wa mapokezi alipowasili katika Kijiji cha Nyamadoke, kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama...
View Article