Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE ALIPOFIKA OFISI ZA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA KATIKA...

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze  na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya  Chama cha  Mapinduzi Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa  katika picha ya   pamoja na  Muwakilishi wa Kudumu wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA TAMWA ATUNUKIWA TUZO YA CEFM CHAMPION

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Alexandre Lévêque akimkabidhi tuzo ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania-TAMWA,Bi. Valerie Msoka kwa kufanikisha kampeni dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUTANA KUJADILI MKAKATI WA MRADI WA KIJIJI CHA DIGITALI

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada ya mchanganuo wa ufumbi wa changamoto mbalimbali...

View Article

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO...

UTEUZI TUME YA UTUMISHI

View Article

HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA ZAMBIA TAREHE 25 FEBRUARI 2015

HOTUBA YA RAIS ALIYOITOA ZAMBIA 25 FEBRUARI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA DKT. EDWARD...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA KAMATI KUU YA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI YA KUSINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumzana na Kamati Kuu ya Chama Cha SPLM ambapo alipeleka ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIZISHWA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA( MMAM) MBEYA...

Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi katika Zahanati ya Kijiji cha Kimondo Kata ya Igoma Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya katika moja miradi ambayo Waziri Mkuu ametembelea katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI UVCCM MKOA WA MBEYA AWAASA VIJANA KUDUMISHA AMANI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa Mbeya,Amani Kajuna akizungumza na wananchi pamoja na wachezaji katika fainali ya ligi ya mpira wa miguu ya Tarafa ya Tembela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA JIONI HII

Kapteni John Komba akitumbuiza enzi za uhai wake kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Kapteni...

View Article

KAMATI KUU YAWASIMAMISHA TIBAIJUKA,CHENGE NA NGELEJA

View Article

KIFO CHA KAPTENI JOHN KOMBA CHASTUA WANA CCM

View Article

ZAWADI YA KOMBA KWA CCM 2015

Kapteni John Komba atakumbukwa kwa mengi ,hapa akitumbuiza kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Maji Maji tarehe 1 Februari, 2015.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE, NAPE NA SUMAYE WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA MAREHEMU JOHN KOMBA

 Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha mabombolezo, alipofika nyumbani kwa familia na aliyekuwa Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa NEC ya CCM, Marehemu, Kampteni John  Komba , Mbezi Tangi Bovu, Dar es...

View Article

MEMBE ASEMA KAPTENI KOMBA ALIKUWA SHUHUDA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI MAKUBWA

 Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba. Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HITMA YA MEREHEMU SALMIN AWADH

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuikana Viongozi na waislamu katika kisomo cha Hitma ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilishiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.  Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa...

View Article

SALAAM ZA RAMBI RAMBI KUTOKA CCM WAKATI WA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...

View Article

NAPE ASHIRIKI KUIMBA WIMBO MAALUM WA KUMUENZI KAPTENI JOHN KOMBA

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images