Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege Songea mjini ambapo Katibu Mkuu wa CCM atashiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC NGORONGORO ALA KIAPO

 Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Hashimu Shaibu akila kiapo cha utumishi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda  jana katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyochanzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA DAR

 Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda  pamoja na wananchi kutoka maeneo mbali mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO KINANA AANZA KAZI YA KUIMARISHA CHAMA MKOANI...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kushoto) akiongozana na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakipokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Adam Kimbisa.Katibu Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AHUTUBIA WAKAZI WA MPWAPWA MKOANI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mpwapwa kwenye uwanja wa mikutano Mnarani ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ahadi zilizoahidiwa na CCM zitatekelezwa kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA JIMBO LA KIBAKWE YAWAFURAHISHA WANANCHI

Wengi wavutiwa na hotuba zake Wampongeza kwa namna anavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi na msimamo wake wa kutaka Viongozi kuwa karibu na wananchi  Wakazi wa jimbo la Kibakwe wakimsikiliza Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AKUTANA NA VIONGOZI WA TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMISHENI YA TAKWIMU YA UMOJA WA MATAIFA

View Article


UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza rasmi zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya kukamilika kwa maandalizi muhimu ya Uboreshaji wa Daftari, ikiwemo manunuzi ya vifaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AITEKA WILAYA YA KONGWA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Jimbo la Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mkoka,wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma ikiwa sehemu ya muendelezo wa ziara zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa nje ya ukumbi wa NEC maarufu kama white house mjini Dodoma tayari kwa kukutana na wanafunzi wa Shirikisho la vyuo vya elimu ya juu mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : SIFA KUBWA YA KIONGOZI BORA NI UADILIFU

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiutubia wakazi wa Dodoma mjini kwenye uwanja wa Barafu ikiwa sehemu ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka...

View Article


MSIKILIZE KIJANA WA KIKUNDI CHA NEW GENERATION NETWORK

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO KUJADILI MIRADI ILIYOKO UKANDA WA KASKAZINI,...

 Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha  sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano  na viongozi wenzake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI GETRUDE MONGELA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

 Balozi Gerturude Mongela akiwa na Mzee Patrick Makanza (96) enzi za uhai. Mzee Makanza amefariki Dunia juzi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : KATIBA MPYA IKIPITA TANZANIA KUWA YA KWANZA DUNIANI KWA KUWA NA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM wilaya ya Chamwino mara baada ya kuwasili kwenye shamba la Zabibu Chinangali II. Zabibu zikiwa zimestawi vizuri. Katibu Mkuu...

View Article


KINANA AINGIA KIJIJI CHA MAJEREKO KWA STAILI YA AINA YAKE (VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUSINDE AWATAKA WATENDAJI KUTEKELEZA MAAGIZO NA AHADI ZA RAIS JIMBONI KWAKE

 Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani  iliyoadhimishwa kitaifa...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>