Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YASHINDWA KUIFUNGA EXPRESS YA UGANDA NYUMBANI, ZATOKA 0-0, UWANJA WA...

Mchezaji wa Simba Ramadhani Sengano akipambana na mchezaji Katongole Henry wa Express ya Uganda, timu hizo zilipomenyana leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katika mechi ya Kirafiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKIPONGEZA CHAMA CHA ZANU-PF CHA ZIMBABWE KWA KUWA SHUPAVU

HARARE, ZimbabweKATIBU Mkuu wa CCM Ndugu. Abdulrahaman Kinana , amekipongeza Chama Cha ZANU PF Cha Zimbabwe kwa kusimama imara licha ya Changamoto mbalimbali zinazoikabili Zimbambwe ikiwemo vikwazo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAIPONGEZA ZANU PF

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia kwenye mkutano mkuu wa ZANU PF Harare 5th Dec , 2014 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana , amekipongeza Chama Cha ZANU PF Cha Zimbabwe kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS AENDELEA VIZURI NA MAZOEZI

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YANYAKUWA TUZO TATU ZA UBUNIFU HIFADHI YA JAMII BARANI AFRIKA

 Pongezi_Kaimu Mkurugenzi Mkuu akipongezwa na Rais wa ISSA Bw Errol Frank kulia na Makamu wake Bw Said Ahmidouch wanaomsaidia kubeba tuzo hizo za cheti cha heshima cha ubunifu  Kaimu Mkurugenzi wa NHIF...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA ALIPOZUNGUMZA NA MAELFU YA WAKAZI WA GEITA MJINI

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Lameck Mchemba akiwahutubia wananchi wa Geita na kuwaambia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hatu jazi nafasi,Tunatafuta Viongozi wenye uwezo wa kusimamia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI

Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA UTALII TANZANIA ( TTB ) NA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND...

 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BROADCAST WAREHOUSE YA UINGEREZA KUSAIDIA COMNETA

Mwenyekiti wa mtandao wa vyombo vya habari vya kijamii Tanzania (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa redio FADECO ya wilayani Karagwe, Bw. Joseph Sekiku, akimtambulisha mgeni kutoka nchini Uingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZIKO YA MUASISI WA CCM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na  waislamu na Viongozi kumuombea dua  Muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERA MADHUBUTI YA GESI KUINYAYUA TANZANIA

Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili. Na Marco Mipawa, Accra- GhanaTanzania inaweza kuwa nchi ya...

View Article

RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI...

RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE SITA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama  Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA 'HOME Wi-Fi', HUDUMA INAYOWEZESHA FAMILIA KUUNGANISHWA KWENYE...

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO DESEMBA 10

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU ZAFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR...

Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akiingia kwa gari maalum kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo, kuongoza maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARTHA MLATA AMWAGA SOLA SEKONDARI YA MKALAMA, ATOA SH. MILIONI TATU KUMALIZA...

Na mwandishi wetuKERO ya maji safi na salama katika Shule ya Sekondari ya Nduguti wilayani Mkalama, imeanza kupatiwa ufumbuzi baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Martha Mlata, kubeba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NISHANI ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZATOLEWA KWA WATANZANIA 28

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wenzake wakati walipohudhuria katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko...

View Article
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>