Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAZIDI KUIMARIKA MIKOA YA KUSINI

ZIARA YA KINANA MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAINGIZA  WANACHAMA ZAIDI YA 40,000 CCMMKUTANO WA HADHARA MTWARA MJINIWakazi wa Mtwara mjini wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM ukiongozwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA...

 Jacquline Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.Akiandaa chakula na wenzake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AVUNA WANACHAMA 167 KUTOKA UKAWA

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kulia akimsikiliza Aliyekuwa Mwenyekiti Baraza la Vijana la Chama cha wananchi CUF Wilaya ya Morogoro Ndugu Mariam Iswili aliyeamua Kurudisha Kadi ya Cuf...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAAPISHA MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU MPYA WA HESABU ZA...

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam, leo Desemba 2, 2014 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA C.O.P 20, LIMA

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia sehemu ya pili ya ufunguzi wa mchakato wa kuanzisha chombo kipya cha kisheria kitakachohusisha nchi zote wanachama wa mkataba wa dunia wa mabadiliko ya tabia nchi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AKUTANA NA MABALOZI MICHEWENI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUNIA MZOBORA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA...

Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AKABIDHI BOTI NA MASHINE MICHEWENI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni  kwa niaba ya kikundi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA VIONGOZI WA MASHINA WILAYA CHAKE

 Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU AWASHA MOTO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akiongea na wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)   katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni kupitia Chama hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand).Mbunifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WA WILAYA YA MKOANI.

  Ustadhi Mohamed Juma Issa (kushoto) akisalimiana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  baada ya kusoma Quran Tukufu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar leo.[Picha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHMOUD MGIMWA ATOA NEEMA YA UMEME KATIKA JIMBO LAKE

Mbunge wa jimbo la mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa  Mbunge wa jimbo la mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI MEDIA GROUP YAKANA KUWA NA UHUSIANO NA UHUMBE HUU KATIKA FACEBOOK NA...

MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MUDA YA BLOGGERS TANZANIA YAANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA YAO

  Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA WIKI YA MITINDO YA MAVAZI NCHINI...

Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAY DEE: MAMBO YA SIASA SITAKI, MIMI NI MUZIKI TU

 Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' Lady Jaydee akisoma gazeti la Staa Spoti. Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Jambo Leo, Frank Balile (kulia), akimuelekeza jambo Lady Jaydee wakati akimuonesha...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>