MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM KUHUSIANA NA MIAMALA...
MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM KUHUSIANA NA MIAMALA ILIYOFANYIKA KATIKA AKAUNTI YA “ESCROW” YA TEGETA PAMOJA NA UMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL
View ArticleKINANA ATAKA HADITHI ZA KOROSHO ZIFIKIE MWISHO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni...
View ArticleMKUTANO WA CCM WA MABALOZI KASKAZINI A UNGUJA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika Hoteli ya Bravo Club Kiwengwa...
View ArticleMAMA AKIWAUMBUA WAPINZANI WILAYA YA NEWALA (VIDEO)
Mtazame huyu Mama ambaye aliamua kuwaumbua wafuasi wa Maalim Seif ambao walitaka ziara ya Katibu Mkuu isifanikiwe wilaya ya Newala.
View ArticleMAXCOM AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITANO, YABADILI MUONEKANO WA HUDUMA YAO YA MAX...
Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano...
View ArticleKINANA ATAKA BAADHI YA SHERIA ZINAZOHUSU WAKULIMA WA KOROSHO ZIANGALIWE UPYA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na...
View ArticleKINANA AWEKA HISTORIA MTWARA MJINI
Apokelewa kwa ShangweAkagua miradi ya maendeleoAtaka wana CCM kushikamanaKuhutubia wakazi wa Mtwara kesho kwenye uwanja wa Mashujaa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
View ArticleAJALI YA HELKOPTA YAUA MARUBANI WANNE DAR ES SALAAM LEO
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne. Mkuu...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA NCHINI LEO KUTOKA KATIKA MATIBABU MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu...
View ArticleKINANA AITEKA MTWARA MJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kazi ya CCM ni...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA ASAAD KUWA MKAGUZI MA M,DHIBITI MKUU WA HESABU ZA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu,...
View ArticleMKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUUZA NYUMBA KWA MFANYABIASHARA HANS MACHA...
DAR ES SALAAM, TanzaniaMKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa...
View ArticleUNESCO WAANZISHA PROGRAM YA UTAMADUNI KUKABILI UKIMWI
Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo,...
View ArticleMO AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM SINGIDA
Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua...
View ArticleDK. SHEIN AZIDI KUKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Hassan Khatib Hassan pamoja na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya...
View ArticleSHULE YA WALEMAVU BUHANGIJA JUMUISHI YAELEMEWA NA CHANGAMOTO
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya...
View Article