KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII KILINDI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi...
View ArticleKINANA AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KWA KUSHIRIKI KAZI ZA MAENDELEO...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi, bada ya kuwasili Kata ya Kwediboma, wakati akiingia mkoa wa Kilindi kutoka wilaya ya Handeni, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza...
View ArticleVIDEO: KINANA ASHIRIKI KILIMO CHA MPUNGA KOROGWE
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanyata kwa Power tiller kwa ajili ya upandaji miche ya mpunga kwenye vijaruba vya kilimo cha zao hilo cha Umwagiliaji vilivyopo katika kijiji cha...
View ArticleKINANA AACHA GUMZO KOROGWE MJINI
Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya MahengeNape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe....
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE KOROGWE
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. CNN is an American basic cable...
View ArticleAFRICA : TOP 100 OF YOUNG ECONOMIC LEADERS- MO MAKES IT IN THE TOP 3
Chief Executive Officer, MeTL Group, Hon. Mohammed Dewji.CP-VA by moblogChoiseul 100 Africa VA BD by moblog
View ArticleKINANA AWASILI LUSHOTO ASUBUHI HII
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Jegestal, wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, baada ya kuwasili wilayani humo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama,...
View ArticleNAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA
Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.
View ArticleKINANA AVUKA MILIMA NA MABONDE HADI LUSHOTO, MAELFU WAFURIKA MKUTANO WAKE WA...
Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Sokoni, katika Kijiji cha Mlola 2, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili viwanja vya Sokoni, katika Kijiji...
View ArticleMKUTANO WA KINANA WAFANA MLOLA WILAYA LUSHOTO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahamn Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwa pamoja wakiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata...
View ArticleKINANA ATEMBELEA JIMBO LA MLALO LEO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM. Katibu...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUTUMIA REDIO JAMII KUELIMISHA UMMA
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiutambulisha ujumbe wa wageni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini kwa Wenyeviti wa bodi...
View ArticleTAASISI YA VYOMBO VYA HABARI KUSINI MWA AFRIKA(MISA-TAN) YAADHIMISHA SIKU YA...
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari...
View ArticleCCM YAUMALIZA UPINZANI LUSHOTO MKOANI TANGA
Mzee Charles Kagonji arudi CCM Uongozi mzima wa Jimbo la Mlalo warudi CCMKinana awapokea kwa mikono miwili Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiutangazia umati wa watu waliofurika kwenye...
View ArticleKINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE KUFA, ATAKA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao...
View Article