Quantcast
Channel: CCM Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 22418

KINANA AWASILI LUSHOTO ASUBUHI HII

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Jegestal, wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, baada ya kuwasili wilayani humo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wilayani humo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiingia kwenye Ofisi za CCM wilaya ya Lushoto baada ya kuwasili asubuhi hii.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 22418

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>