Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanyata kwa Power tiller kwa ajili ya upandaji miche ya mpunga kwenye vijaruba vya kilimo cha zao hilo cha Umwagiliaji vilivyopo katika kijiji cha Mahenge,Kwamndolwa wilayani Korogwe mkoani Tanga leo. HABARI/VIDEO NA BASHIR NKOROMO
↧