Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO AZINDUA JARIDA LA IRIS EXECUTIVE NA KUSEMA UTAJIRI HAUJI "KIRAHISI RAHISI"

Mgeni Rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI

 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA )Nicholaus Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye Makao Makuu ya TUCTA kwa mazungumzo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA DABO AMETAJWA KUWANIA TUZO ZA REGGAE ZA KIMATAIFA NA MUZIKI WA...

Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi....TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASAMsanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS KIKWETE GAIRO, KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA...

 Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA VYETI HALISI UOMBAJI KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA

Naibu Katibu Kitengo cha Udhibiti na Ubora toka Ofisi ya Rais, Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Humphrey Mniachi akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani)Jinsi wanavyoshirikiana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA ATUA NCHINI,...

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (kulia), akimtambulisha kwa madaktari (hawapo pichani), Daktari Bingwa wa magonjwa ya saratani ya matiti, Profesa Anthony Pais, kutoka Bangorole...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA...

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA BUNGE LA NIGER ATOROKA KWA KASHFA YA KUUZA WATOTO, ALISHATANGAZA...

Spika wa Bunge la Niger ametoroka nchini humo baada ya kamati ya bunge hilo kuafiki kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto.      Hama Amadou, ambaye tayari ameelezea azma yake ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMI WAFARIKI DUNIA NA SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA KIPANYA ILIYOTOKEA...

Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga Gari hilo aina ya Tata likiwa limepaki pembeni Muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU: CCM ITAUPUKUTISHA UPINZANI TEMEKE UCHAGUZI WA MITAA, SIYO KWA KUTUMIA...

Na Bashir NkoromoMbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu ametamba kuwa, CCM itapukutisha kwa kishindo upinzani wote katika jimbo hilo kwa kushinda mitaa yote katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA

Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam  na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO  kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD),...

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na...

View Article

TAHADHARI YA UPEPO MKALI PAMOJA NA MAWIMBI MAKUBWA KUANZIA TAREHE 01 MPAKA...

TAHADHARI YA UPEPO MKALI PAMOJA NA MAWIMBI MAKUBWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALEX MSAMA ATANGAZA VITA NA WEZI WA KAZI ZA WASANII, ASEMA WATASAKWA POPOTE...

   Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam Bw. Alex Msama akimwaga furushi lililojaa CD na DVD feki za kazi mbaimbali za wasanii zinazorudufiwa kwa wizi na watu wasiokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI NYUMBA ZA MAKAZI ZA MEDELI LEO HII

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi Rais Kikwete akisalimiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAUTI SOL, SKYLIGHT BAND NA YAMOTO BAND WAPAGAWISHA WAKAZI WA DAR BEAUTY and...

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking'ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.  Kwa picha zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA BIBI YAKE OBAMA WA MAREKANI,JIJINI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>