Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22431 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC WALIPOTEMBELEA HALMASHAURI YA...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Kyando Mchechu wa kwanza kulia mbele akitembelea eneo la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zitakazojengwa  katika Halmashauri ya Busekelo Mkoani Mbeya alipotembelea...

View Article


MAMLAKA YA HALI YA HEWA WATOA UTABIRI WA MSIMU

UTABIRI WA HALI YA HEWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGWANGALA SASA ATAKA URAIS WA TANZANIA, ATANGAZA NIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMBWILI LA DIAMOND UJERUMANI

FUJO ZA 30.8.2014 KATIKA SHOW YA DIAMOND HASARA EURO 300,000PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPOLISI WASEMA MPAKA KIELEWEKE, M-NIGERIA ROHO JUUStuttgart,Ujerumani,Anayejiita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SARAFU YA SHILINGI 500 KUANZA KUTUMIKA MWEZI UJAO

Na Frank Mvungi MAELEZOBenki Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka.Hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: TUNAIMANI NA MATAWI YA CCM NJE YA NCHI

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS TO...

The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez has officially presented his credentials to the Government. The Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AKUTANA NA BALOZI KALLAGHE MJINI LONDON

 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANCIS KUPUNGUZA MUDA NA KUIONGEZEA MAPATO SERIKALI

Mkurugenzi Mkazi wa ASASI isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yaekob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO MOROGORO KUSINI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUKUWEZESHA CHAMA CHA...

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vilivyopigania Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Afrika (FLM). Kushoto kwa Kinana ni Katibu Mtendaji Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI IKULU JIJINI DAR ES...

 Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishanamawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaamalipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali Rais Jakaya Kikwete akipitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAUNCH OF CERTIFIED APPRENTICESHIP PROGRAM IN HOTEL OPERATION

Representatives from ILO, TUCTA, ATE and HAT in a group photo with the apprentices during the launch of the programme held in Dar es Salaam on 5TH AUGUST 2014.The launch was coupled with the signing of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA PWANI, AHUTUBIA MAMIA YA WATU KIMANZICHANA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, akihutubia mamia ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Kimanzichana, wilayani Mkuranga, mwanzoni mwa ziara yake mkoa wa Pwani. Picha zaidi baadaye.  Katibu Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CANADIAN PRIME MINISTER STEPHEN HARPER AND AGA KHAN OPEN THE ISMAILI CENTRE...

PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto - AKDN / Zahur Ramji).The Right Honourable Stephen Harper, Prime Minister of Canada, and His Highness the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ASONONEWA MIKOROSHO ILIVYOKAUSHWA MKURANGA NA UGONJWA USIOJULIKANA,...

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyeshwa mikorosho iliyokauka katika mashamba ya wakulima wa zao hilo katika kijiji cha Magawa katika wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipokagua adhari za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA...

SEMINA ya Kamata Fursa Jitathimini,Jiamini,Jiongeze inayoendeshwa sambamba na burudani za Fiesta 2014, jana imeendelea kwa kuwapatia dira ya maisha na namna ya kuwafanya wajikwamue kwenye shughuli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII KIBITI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji mkazi wa kijiji cha Muyuyu Bi.Zainabu Athumani mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji utakaonufaisha wananchi 3765. Katibu Mkuu wa CCM...

View Article

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI...

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YATIKISA KIBITI

Apokea viongozi wawli kutoka upinzaniAtaka serikali kuangalia upya sheria za utumishi.  Katbu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibiti mjini ambapo alisema kuna haja ya serikali...

View Article
Browsing all 22431 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>