Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22925 articles
Browse latest View live

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA KUFANYA HARAMBEE SIKU YA JUMAMOSI MJINI MWANZA

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA KUFANYA HARAMBEE SIKU YA JUMAMOSI MJINI MWANZA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

 Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe...

View Article

NAPE AWAASA WAANDISHI WA HABARI JUU YA HABARI ZA KUTUNGA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini  Mhe Innocent Kalogeris na Katibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMF YATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI MBEYA

Mwandishi wa habari toka Guardian Mzee Chanda akifafanua jambo katika semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Gr City jijini Mbeya ambayo  iliyoandaliwa na Tanzania Media...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATAWAZWA KUWA CHIFU MSAIDIZI WA WALUGURU NA CHIFU KINGALU HUKO...

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNURA APELEKA 'MAJANGA' TARIME

NA MWANDISHI WETUMWANAMUZIKI mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi, anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA...

 Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA MKAPA MWANZA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETEAONGOZA MAZISHI YA JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME MKAONI TANGA

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza  kwa ajili ya mazishi tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOMSIMIKA KAMANDA WA UVCCM IRINGA-SALIM ASAS

ABaada ya Kuingia Iringa Mjini,Mh:Mwigulu Nchemba akaamua kuingia Mtaani kutembelea Matawi ya chama na Kuzungumza na Wananchi.Hapa Msafara wake ukiwa soko la Mitumba Iringa Mjini,Vijana wa CCM Iringa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA ASITISHA SAFARI KWA MUDA,AOKOA MAJERUHI NA KUTOA HUDUMA YA...

Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa Gali lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuuguria maumivu makali kwenye Mkono.Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKANISA SINGIDA YAONYA MATUSI NA UBAGUZI BUNGENI

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WA CCM WAFANYA MKUTANO WA HADHARA MTERA JIMBO LA DODOMA

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION NA JESHI LA POLISI WAKAMATA KAZI FEKI ZA WASANII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU AONGOZA KIKAO CHA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBONI MWAKE

 Mbunge wa Temeke ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Abbas Mtemvu akiendesha kikao cha Wenyeviti wa mitaa katika jimbo la Temeke, leo kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Temeke,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE DAR ES...

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOYOTA YAFANYA BONANZA MAALUMU LA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE, WANAUME...

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho...

View Article
Browsing all 22925 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>