Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANALIBENEKE DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA WAMEREMETA

Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOO UANZE WEEK - END YAKO KWA KUSAKATA RHUMBA NA SKYLIGHT BAND LEO THAI...

Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDIO ZA KIJAMII ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BY 2030 DAR ES SALAAM COULD HAVE BIGGER POPULATIONS THAN LONDON HAS NOW

               Stanley Subramoney, Strategy leader of PwC’s South Market RegionPwC new report puts the spotlight on the largest cities in sub-Saharan AfricaBy 2040, Africa will experience faster...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014 Rais jakaya Mrisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJANE WA ALIYEKUWA RAIS WA ZANZIBAR MAREHEMU ABDULWAKILI AFARIKI DUNIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WATWANGANA NGUMI, MAWE UCHAGUZI GEITA, MWENYEKITI AJERUHIWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA NA UCHUMI SUPERMARKETS TANZANIA LIMITED (USL) ZATILIANA...

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE

Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MeTL GROUP YAPATA MKOPO WA BILIONI 300/- KUTOKA RMB

Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mohammed Dewji (MB) akisoma risala yake kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa Bilioni 300 za kitanzania kutoka Benki ya Rand Merchant ya Afrika Kusini (RMB)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUWASHIRIKISHA VIJANA KATIKA PROGRAMU ZA MAENDELEO

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU AZIDI KUFANYA MAMBO MAKUBWA TEMEKE

 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu ameendelea kumwaga misaada kwa wadau na makundi mbalimbali ya wananchi katika jimbo lake, Pichani, Mtemvu akizungumza kabla ya kuanza kugawa zawadi hizo kwa ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZUNGUMZO NA SALMA MOSHI KUHUSU UCHAGUZI DMV

Mazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano hayaAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZUNGUMZO NA LIBERATUS MWANG'OMBE NA SOLOMON CHRIS BAADA YA UCHAGUZI DMV

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojianoAgosti 9, 2014,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM YAKUTANA DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye ukumbi wa NEC Dodoma ,akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWA FAMILIA YA JAJI MAKAME

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM YASISITIZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA UENDELEE

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>