MARAIS NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Afrika Mashariki, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi, wakati wa mkutano...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKTABA YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W.BUSH
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) iliyo katika Taasisi ya Bush (George W. Bush Institute) mjini Dallas, Texas, na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri wa Kilimo Maendeleo ya chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza, na baadhi ya viongozi wa mkoa...
View ArticleUJENZI BARABARA YA MBEYA CHUNYA UNAKWENDA KASI
Kipande cha barabara cha lami kutoka Lwanjilo hadi Chunya Mjini Eneo la Kona ya Mkoa .JAMIIMOJABLOG
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...
View ArticleUNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA...
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo...
View ArticleMASHIRIKA MBALIMBALI YAOMBWA KUDHAMINI PIA MATAMASHA YA MUZIKI WA INJILI
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama kulia na mwimbaji wa muziki wa injili Bonny Mwaiteje katikati na Mwimbaji Chengula...
View ArticleMEMBE NA NAPE WATEMBELEA FAMILIA ZILIZOFIWA NA NDUGU ZAO WA KUONA MAJERUHI WA...
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume...
View ArticleSERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo walioongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa...
View ArticleHOTUBA FUPI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA AZANIA BANK KWA DIASPORA
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Charles Singili alipokuwa akizungumzia huduma za benki yake kwa waTanzania jijini Washington DCPICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULUHotuba fupi ya Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleMAHOJIANO YA KWANZA PRODUCTION NA JHIKO MANYIKA A.K.A JIKHOMAN
JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa...
View ArticleTBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI KILICHOJENGWA...
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji...
View ArticleWAZIRI DK. KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO YA UTAWALA BORA
Na Mwandishi WtuWAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUTIMIZA AHADI ZA UJENZI WA ZAHANATI KWA KILA KATA
Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu...
View ArticleDHL AFRICA: 51 COUNTRIES,60 DIRECT REPORTS, 4000 EMPLOYES:MEET THE MD LEADING...
Charles Brewer, Managing Director for sub-Saharan Africa at DHL Express 51 countries, 60 direct reports, 60,000 customers, 4,000 employees, 14 aircraft, 2 young children and 2 dogs!...
View ArticleMISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI...
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini...
View ArticleCHADEMA WAZIDI KUUMBUANA
Chadema wazidi kuumbuana hadharani kwa matendo yao mbaya na yasiyo faa kwa jamii.Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimezidi kuumbuana kwa yale matendo yao yasiyofaa kwa jamii ya Kitanzania.Ni muda sasa...
View ArticleSALAMU MAALUM ZA SHUKURANI KUTOKA MBEYA YETU BLOG BAADA YA KUPATA USHINDI WA...
Cheti cha ushindi wa Tatu ambacho Mbeya Yetu walikabidhiwa na TASOHili ndilo Banda la Mbeya yetu Blog lililokuwa ndani ya Maonesho ya Nane nane Mbeya.Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog na Mmoja wa...
View Article