PRESIDENT KIKWETE ATTENDS CIVIL SOCIETY TOWN HALL MEETING ON OPEN GOVERNMENT...
President Jakaya Mrisho Kikwete with the US Secretary of State John Kerry exchange views before the start of a Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino. Mkufunzi...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE ADDRESSES A DIALOGUE ON COMBATING WILDLIFE TRAFFICKING IN...
President Jakaya Mrisho Kikwete discusses a point with the Minister for Tourism and Natural Resources Mr Nyalandu moments before the start of a Dialogue on Combating Wildlife Trafficing hosted by the...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS WITH IBM PRESIDENT AND NEW YORK MAYOR MICHAEL BLOOMBERG
President Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with Virginia M. Ginni Rometty, the Chairman, President and Chief Executive Officer of IBM during a dinner hosted by Mayor of New York and Chairman of the...
View ArticleKIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KATI YA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA,WASHINGTON DC
Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzaniaUsiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot...
View ArticleDEO FILIKUNJOMBE ASHUGHULIKA NA WANAOCHELEWESHA HUDUMA KWA WANANCHI KATIKA...
Boda Bdoa zikiwa zimejipanga kumpokea Mbunge wa Jimbo la Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe katika kijiji cha Mlangali. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mheshimiwa Deo Filikunjombe akikabidhi Baiskeli kwa...
View ArticleWANANCHI WAZIDI KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA...
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chuo cha Nelson Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua...
View ArticleSUMATRA YAHAMASISHA MATUMIZI YA MITUMBWI YA KISASA ILI KUPUNGUZA AJALI MAJINI
Adam Mamilo Afisa udhibiti vyombo vya majini Wilaya ya Kyela akitoa maelezo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mbeya walipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonyesho ya Sherehe za wakulima...
View ArticleRAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais...
View ArticleMAHOJIANO NA MGOMBEA URAIS WA JUMUIA DMV,LIBERATUS MWANG'OMBE
Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia Uchaguzi unategemewa kufanyika...
View ArticleMPIGA DEBE MAARUFU MJINI IRINGA AUAWA BAADA YA KUMDAI MDENI WAKE SH.2000
Mwili wa mpiga debe huyo ukiwa umefunikwa na askari polisi wakiwa tayari wamefika eneo la tukio.DENI la Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendeayo mikoani ya...
View ArticleRADIO 5 YAPONGEZWA KWA MCHANGO WAKE WA KUKUZA SANAA ZA VICHEKESHO VYA JUKWAANI
Na Mwandishi wetuKituo cha Radio 5, kimepongezwa na wadau wa sanaa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani hapa nchini.Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza...
View ArticleMAZISHI YA ANDREA DUMA BABA WA MWANDISHI WA HABARI WA MO BLOG SINGIDA
Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI PROFESA PETER MUTHARIKA JIJINI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC,...
View ArticleKIKWETE:TUNAKWAMISHWA NA UZALISHAJI NA MATUMIZI MADOGO MNO YA UMEME
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya...
View ArticleBODI MPYA YA BARAZA LA HABARI YAZINDULIWA
Jaji Kiongozi Shaban Ally Lila akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania kwa niaba ya Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman kwenye Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam, Agosti...
View Article
More Pages to Explore .....