Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI KATAVI

 Kattibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi ambapo nyumba 70 zimekamilika kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NI NCHI YA AMANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA PASAKA LATIKISA UWANJA WA TAIFA

 Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye u8wanja wa Taifa akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MWENEZI WA CHADEMA WILAYA YA MEATU AHAMIA RASMI CCM

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi. Mwenyekiti wa Vijana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA: KIKWETE NI JEMBE KATIKA MAENDELEO

*KIKWETE NAYE AWATAKA VIONGOZI WASITUMIE WANANCHI KAMA CHAMBO KUTIMIZA TAMAA ZAO ZA KISIASA.KARATU, TanzaniaCHADEMA wamemshukuru Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kusaidia kwa kiasi kikubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA...

 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA LEO KUENDELEA NA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa   baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Dodoma   kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es Salaam, Aprili 23,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI

Balozi MwinyiNaibu Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhani Mwinyi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kuhusu ujumuishwaji katika mchakato wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE CLEOPA MSUYA ANG'ATUKA RASMI KATIKA UONGOZI WA UMMA

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza na kuzungumza na Waziri mkuu Mstaafu mzee Cleopa David Msuya aliyetangaza rasmi kung’atuka nafasi zote za uongozi baada ya kuitumikia serikali na Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTUMISHI UHURU FM, CECY JEREMIAH APATA MSIMA MZITO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA KIMAREKANI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaonyesha wanafunzi kutoka chuo cha Whitworth Marekani bango la linaloonyesha  wajumbe wa Kamati Kuu  wa CCM wakati wa mkutano kati yake na wanafunzi hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM TAWI LA UINGEREZA WAUNGANA NA WATANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO

CCM TAWI LA UINGEREZA WAADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANOApr 25, 2014                                                                                                                       CHAMA CHA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo April 25, 2014. Baadaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAFANYA MATEMBEZI YA UZALENDO

 Vijana wakiwa kwenye matembezi ya Uzalendo yalioratibiwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano ambapo vijana hao walianzia matembezi kutoka ofisi za Mkuu wa Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA WATANZANIA KWA KUADHIMISHA KWA KISHINDO MIAKA 50 YA MUUNGANO WA...

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, wanatoa hongera kwa Watanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWEMBE ULIOPANDWA NA NYERERE NA KARUME KATIKA IKULU YA DAR ES SALAAM WATIMIZA...

Wakati wa Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili 1964, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais wa Zanzibar Abeid Amaan Karume ambao sasa wote ni marehemu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA, KATA YA KAWE YATIKISAApr 27, 2014 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Sadifa Juma (wapili kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano eneo la Tanganyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI KUANZA TENA MWEZI MEI

 Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoeziAction Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea...

View Article
Browsing all 22418 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>