KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA KATIKA SHUGHULI YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama...
View ArticleKINANA ATUA KIGOMA KUANZA ZIARA YA SIKU SITA MKAONI HUMO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya siku tano mkoani humo jioni hii.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Walid...
View ArticleNYANGWINE KUWASHITAKI KWA KINANA MAKADA WANAOMHUJUMU JIMBONI
NA MWANDISHI WETUVURUGU na kampeni chafu zinazofanywa na baadhi ya makada wa CCM wanaojipanga kuwania ubunge katika jimbo la Tarime, zimechukua sura mpya.Hatua hiyo imetokana na mbunge wa jimbo hilo...
View ArticleKINANA AKAGUA MRADI WA MAJI KASULU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasabahi wananchi wa kijiji cha Nyumbigwa ambapo alikagua mradi wa maji.Mbunge wa Viti Maalum Josephine Gezabuke akizungumza na wananchi wakati waziara...
View ArticleZIARA YA WILAYA YA KASULU MKOANI KIGOMA YAFANA, MAELFU MJINI NA VIJIJINI...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika leo, Aprili 9, 2014, kwenye stendi ya texi mjini Kasulu, akiwa katika ziara yake ya...
View ArticleKINANA ANA KWA ANA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa ajili ya mazungumzo baina yao kwenye Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda, juzi. (Picha na Edward Mpogolo- Ofisi...
View ArticleDHANA YA KUPUNGUZA MADHARA YA MAAFA
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa, akiwakaribisha washiriki na kufungua warsha ya mafunzo ya siku nne ya waandishi wa habari na watangazaji wa Redio Jamii kuhusu kuandika taarifa za...
View ArticleKINANA AMALIZA KWA KISHINDO ZIARA YAKE WILAYANI BUHIGWE LEO, AKAGUA MIPAKA YA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia mto Malagalasi ambao ni mpaka kati ya Tanzania na Burundi alipokuwa katika ziara wilayani Buhigwe mkoani Kigoma leo Alhamisi, Aprili 10, 2014. Kinana...
View ArticleKINANA, NAPE WAFANYA MAMBO MAZITO JIMBONI KWA ZITTO KABWE MKOANI KIGOMA
Gari alilokuwemo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana likisindikizwa na vijana alipokuwa akiingia Kata ya Mwandiga, Wilaya ya Kigoma, leo Katibu Mkuu huyo akiwa katikaa ziara ya siku tano mkoani...
View ArticleWAVUVI KIBIRIZI WATOA YA MOYONI KWA KINANA
Walalamikia tozo kubwa za leseni na ushuruWakina Mama walalamika kunyanyaswaWamtupia lawama kwa Diwani wao wa KataKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma bango lenye ujumbe wa kulalamikia...
View ArticleKINANA AHUTUBIA BILA KUJALI MVUA KIGOMA MJINI
Asisitiza Umoja na Mshikamano KigomaAsema ahadi zote zitatekelezwaAwataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumlaNape afundisha Umma Demokrasia ya kweli,aonyesha namna...
View ArticleTAARIFA MUHIMU KUTOKA TAWI LA CCM UINGEREZA
CCM TAWI LA UINGEREZA - UNITED KINGDOMWebsite ccmuk.org, Blog ccmuk.org/blog, Facebook page chama cha mapinduzi uingereza, twitter CCMUK 1Contacts Phone +44 74 04 863333, +44 7545 213515E-mail...
View ArticleKINANA AANZA KWA KISHINDO ZIARA YAKE MKOANI KATAVI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) akikagua ujenzi wa bandari ya Karema wilaya ya Mpanda ambao umekwama kwa miaka mitatu sasa kutokana na mkandarasi kudaiwa kutokuwa na sifa na...
View ArticleCCM YAZIDI KUIMARIKA NA KUAMINIKA
Wananchi wengi wana imani kubwa na CCMWatambua ni Chama pekee chenye viongozi wasikivu na wenye ushirikianoZiara za Katibu Mkuu wa CCM zazidi kukiimarisha chama na kuongeza idadi ya...
View ArticleZIARA YA KINANA WILAYA YA MLELE
Atembelea kata ya Kibaoni, asalimiana na wananchi na kukagua mradi wa maji, akutana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda .Ajionea mradi wa ufugaji Nyuki katika shamba la Waziri Mkuu Katibu Mkuu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAALIM MUHIDIN...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwanamuziki mkongwe, Kassim Mapili, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu...
View ArticleKINANA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA 60 ZA SHIRIKA LA NYUMBA WILAYA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 60 za makazi ya watu zinazojengwa na Shirika la Nyumba ya Taifa katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi. Katibu Mkuu...
View ArticleMVUA KUBWA KUENDELEA KUNYESHA WANANCHI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI
TAHADHARI 16-04-2014WARNING 16-04-2014
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA WILAYA YA MLELE
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Kituo cha Afya Inyonga Dk. Koni,Katibu Mkuu alitembelea kituo hicho ambacho kimeombewa kibali cha kuwa...
View Article