KINANA AFIKA MAENEO YA PEMBEZONI NKASI, AKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA UBOVU WA...
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana jana, aliendelea na ziara yake katika mkoa wa Rukwa, kwa kutembelea wananchiwalioko pembezoni mwa mkoa huo, ambapo alifika hadi katika Kata ya Wampembe iliyopo...
View ArticleNAPE:CCM INA UHAKIKA NA USHINDI CHALINZE
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo...
View ArticleZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KUFIKIA UCHAGUZI WAPINZANI WAZIDI KURUDI CCM...
11 warudi CCM kwenye mikutano ya kampeni za Ubunge,akiwemo Mwenyekiti wa CUF Kata ya Msata Ndugu Idd Njema. Ridhiwani awaambia wananchi wa Mkoko muda wa kutumia jembe la Mkono umekwisha ni wakati wa...
View ArticleUONGOZI WA JUU CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA WA CHAMA CHAO CHALINZE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika leo Chalinze. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA YAFANA
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi Ofisi ya CCM, wilaya mpya ya Kalambo, Aprili 2, 2014, Ofisi hiyo ipo mji mdogo wa Matai mkoani Rukwa jana....
View ArticleTAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA...
 Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...
View ArticleRIDHIWANI AHUTUBIA WAKAZI WA KATA YA BWILINGU CHALINZE
Wanachama wa CCM Tawi la Mbala kata ya Bwilingu wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kula Kwa Jasho....
View ArticleVYAMA VYASHAURIWA KUWATUMIWA MAWAKALA WA JIMBO HUSIKA
TUME ya Taifa ya uchaguzi imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuhakikisha kuwa wanawatumia mawakala wanaotoka katika maeneo au vituo husika vya kupigia...
View ArticleArticle 2
KINANA ATIA FORA ZIARA YAKE SUMBAWANGA VIJIJINI LEO, MAELFU WAFURIKA MKUTANO KATA YA ILEMBO, AZINDUA NA KUCHAGIA MIRADI YA SHULE, ZAHANATI, KITUO CHA POLISI, MSAFARA WAKE WAZUIWA NJIANI NA WANANCHI...
View ArticleRIDHIWANI KUWA MBUNGE WA VITENDO JIMBO LA CHALINZE
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi hao wakati akizungumzia mwenendo...
View ArticleRIDHIWANI AITEKA KATA YA PERA
 Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera  Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete. Ridhiwani Kikwete...
View ArticleKINANA KUFUNGA KAZI MKUTANO WA MWISHO SUMBAWANGA LEO
Sumbawanga, TanzaniaKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, leo anahitimisha ziara yake katika mkoa wa Rukwa kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapa.Mkutano huo utakaofanyika kuanzia mida ya...
View ArticleSHIVJI: SIFUATI MATAKWA YA WANASIASA
Awashangaa Lissu, Jussa kujilinganisha nayeWasomi wawaita wanasiasa wapiga keleleDAR ES SALAAM, TanzaniaMWANAZUONI mashuhuri nchini, Profesa Issa Shivji (pichani), amesema hafanyi uchambuzi kwa ajili...
View ArticleMAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO WA CHALIZNE KAMILI KWA ASILIMIA 95
BAGAMOYO, TanzaniaJumla ya vituo 288 vinatarajiwa kutumika kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze wilaya  ya Bagamoyo mkoani Pwani kesho Jumapili, April 6, mwaka huu.Akizungumzia hali...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA MKOANI RUKWA KWA KUHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI MJINI...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa...
View ArticleMKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA UBUNGE CCM JIMBO LA CHALINZE WATU NYOMI MIONO
Dk.Shein asema Ridhiwani ana sifa zinazokidhi,ana Nidhamu,Uadilifu,na Uwezo wa kuongozaAsisitiza juu ya msimamo wa Serikali MbiliAsema Muungano ndio msingi mkubwa wa Taifa letuAsema moja ya manufaa na...
View ArticleRAIS JAKAYA APIGA KURA MSOGA
Mama Salma na Ridhiwani pia wapiga kura . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze...
View ArticleKINANA, NAPE KUTUA KIGOMA KESHO ASUBUHI
NA BASHIR NKOROMO, KIGOMAKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, anatarajiwa kutua Kigoma kesho, kuanza ziara ya siku tano mkoani hapa.Ratiba iliyotolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Mohamed...
View Article