MWANAMKE BORA WA MWAKA KUPATIKANA KESHO DODOMA
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The...
View ArticleWAKAZI WA KATA YA PERA WAAHIDI KURA KWA RIDHIWANI KIKWETE SIKU YA TAREHE 6
Mwananchi wa Kata Pera waahidi kumpigia kura Ridhiwani Kikwete tarehe 6 mwezi wa nne baada ya kuridhishwa na Hotuba zake zinazogusa changamoto zao kama elimu, maji, zahanati, barabara na namna...
View ArticleVIDEO: KWA NINI WANAWAKE HAWACHAGUANI?
Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za...
View ArticlePINDA KUKUTANA NA SURPRISE LEO DODOMA
Stori: Ojuku AbrahamWAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani kati...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa mkoani Morogoro, leo Machi 29,...
View ArticleKINANA KUTUA SUMBAWANGA LEO KWA AJILI YA ZIARA YA MKOA WA RUKWA
CCM Blog, SumbawangaKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (Pichani), anatarajiwa kutua mjini Sumbawanga, leo saa tano asubuhi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani Rukwa. Taarifa zilizopatikana...
View ArticleVIJANA KATA YA MANDERA WARUDISHA KADI ZA UPINZANI KWA WINGI KWA RIDHIWANI
Ridhiwani ahakikishiwa kura kata ya MandelaWananchi wa Chalinze wasema dhihaka zinazotolewa na wapinzani kuisha tarehe 6Wafugaji wamuunga mkono.Wapinzani warudisha kadi kama mvua Mgombea Ubunge Jimbo...
View ArticleArticle 2
KINANA ATUA SUMBAWANGA LEO KUANZA ZIARA YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA, KATAVI NA KIGOMAMar 30, 2014 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishuka kwenye Ndege, Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga baada ya...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TATHMINI YA UCHAGUZI CHALINZE
Kampeni zinaendelea vizuri, ingawa kuna malalamiko kidogo juu ya uvunjwaji ama ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na malalamiko hayo yapo kwenye vyombo husika yanafanyiwa kazi.Malalamiko hayo yanahusishwa...
View ArticleKINANA NDANI YA MJI MDOGO WA NAMANYERE, WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na kinamama wa hamasa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika, Jumapili, Machi 30, 2014, katika mji mdogo wa Namanyere, wilayani...
View ArticleRIDHIWANI AJIHAKIKISHIA USHINDI MKANGE
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita...
View ArticleCCM NA KAMPENI ZA KISTAARABU
Hizi ni Changamoto tu za wakati wa kampeni kata ya Mandera Kata ya Pera. Kata ya Bwilingu Kata ya Lugoba Mkoa wa Vyuo Vikuu bega kwa bega katika kufanikisha ushindi kwa CCM Chalinze Kila mwenye uwezo...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, Rais yupo katika...
View ArticleZANZIBALICIOUS KUWAKOMBOA WANAWAKE
Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Mwanaidi Salehe akisaini kitabu cha wageni cha Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious kwenye sherehe za uzinduzi wa Umoja huo...
View ArticleCFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class...
View ArticleArticle 4
KINANA AZURU KATA ZA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA LEO KATIKA ZIARA YAKE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWAMar 31, 2014 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus Matete (aliyenyoosha mkono), akimuonyesha...
View ArticleMKUTANO WA KINANA MWEMBEYANGA WAWEKA HISTORIA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Wananchi waliohudhuria mkutano huo,...
View ArticleRIDHIWANI KUANZA NA BARABARA KISHA ELIMU NA AFYA TOKAMISASA
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APANDA MTI KUADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. Picha na OMR
View Article