TBC NA CRI YAZINDUA TAMTHILIYA YA KICHINA ILIYOTAFSIRIWA KWA LUGHA YA KISWAHILI.
Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwajili ya kuzindua rasmi Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang)...
View ArticleKIKWETE ACHAPA KAZI TATU KWA MPIGO LEO, AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUDI,...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika kuwasilisha ujumbe wa Rais huyo kwa Rais Kikwete, Ikulu jijini...
View ArticleEWURA YAFURA LESENI ZA KAMPUNI KUBWA TISA ZA KUUZA MAFUTA
BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imefuta leseni za kufanya biashara ya mafuta kwa jumla (Whole Sale Licenses) kwa Kampuni tisa (9) zinazojihusisha na...
View ArticleNCHI ZIMILIKI MAGEUZI YA SEKTA ZA USALAMA: TANZANIA
Na Mwandishi MaalumTanzania, imeungana na mataifa mengine katika kusisitiza umuhimu wa nchi kumiliki mchakato wa Mageuz iya Sekta za Usalama ( Security Sector Reform).Akichangia majadiliano ya Baraza...
View ArticleSHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA ZAFANA
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo...
View ArticleGESI KUPEWA KIPAUMBELE BAJETI YA 2014/15
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusianona Uratibu, Stephen Wasira, akisoma rasimu ya Bajeti ya mwaka 2014/20015, jijini Dar es SalaamWaziriwa Fedha Saada Mkuya akisoma Rasimu ya Bajeti ya mwaka 2014/15...
View ArticleMWENDELEZO WA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA
MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014Mwenyekiti wa...
View ArticleTANZANIA YATAKA MATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE
Na Mwandishi Maalum, New YorkTanzania imeendelea kusisitiza kwamba, nchi ambazo hazina mpango wa kuwa na silaha za nyukilia basi ziwe na haki ya kutumia nyukilia kwa matumizi salama, na pia kupewa...
View ArticleKINANA AWASILI PEMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (ZNZ) Vuai Ali Vuai mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Pemba, Katibu Mkuu anatarajiwa kufanya mkutano wa...
View ArticleKINANA ATOA SOMO PEMBA
Awataka wananchi kutokubali kuyumbishwaAwaambia wananchi wa Pemba ,Muungano wa serikali mbili ni rahisi kuusimamia na kuzitatua changamoto zake kuliko wa serikali tatu.Asema Viongozi wao wangekuwa wa...
View ArticleMVUA YASABABISHA NDEGE ALIYOPANDA KINANA KUCHELEWA KUTUA KWA DAKIKA 20 ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kutoka kwenye ndege ya kampuni ya Flightlink kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya kukaa angani kwa dakika 20 zaidi ya muda uliopangwa...
View ArticleMAELFU WAFURIKA MKUTANO WA CCM VIWANJA VYA KIBANDAMAITI ZANZIBAR JIONI HII
MSIHADAIWE SERIALI MBILI ZINATOSHA: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Viwanja vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar, Mei 4, 2014. kueleza kwa nini CCM inawataka...
View ArticleWAZANZIBARI WAAPA KUULINDA MUUNGANO
Wananchi wa Zanzibar wasema serikali mbili zatoshaWachukizwa na wanasiasa wanafiki wanaopindisha pindisha manenoVijana wa CCM kutovumilia wanasiasa wanaokashifu waasisi wa Taifa letuWasema wamechoshwa...
View ArticleMAMLAKA YA HALI YA HEWA YAKANUSHA TAARIFA INAYOZAGAA KWENYE MITANDAO
TAARIFA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA
View Article
More Pages to Explore .....