SHAKA APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI KIGOMA
Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka (kushoto)akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya UVINZA ndg Evarist Mkuluge alipopokelewa Katika kata ya Nguluka Wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Ndg:Kaimu...
View ArticleRAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA...
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA
 Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn...
View ArticleKUTOKA RADIO UHURU FM- FM - 95.7 FM DAR ES SALAAM
14-7-2017                                              Pongezi                                          1:00PMDAR ES SALAAM,     Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imekipongeza Kituo cha Uhuru FM,...
View ArticleROONEY, EVATON WAFURAHIA UKARIMU WA WATANZANIA
Wayne Rooney (wa pili kushoto) kushoto akiwa na wachezaji wenzake walipokuwa Jijini Dar es Salaam ambapo timu ya Everton ilicheza na timu ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki ulichezwa katika uwanja...
View ArticleTANAPA YAMPATIA DK JANE GOODALL TUZO YA UTAFITI WA MIAKA 60 YA MAISHA YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) akimkabidhi  Dk. Jane Goodall tuzo maalumu kwa kutambua mchango wake wa utafiti wa miaka 60 wa maisha ya Sokwe  pamoja na uhifadhi wa...
View ArticleMKURUGENZI KAYOMBO AKUSANYA MILIONI 150 KWA MWEZI KATIKA SOKO LA NDIZI-MABIBO...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John lipesi Kayombo akizungumza na wananchi pamoja na wafanyabiashara katika soko la Ndizi-Mabibo wakati wa ziara ya kikazi katika eneo hilo.Wananchi...
View ArticleTRA YAVIFUNGULIA VITUO VITATU VYA MAFUTA BAADA KUTIMIZA MASHARTI YA KUFUNGA...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere akikata utepe katika kituo cha mafuta cha Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kutimiza masharti ya kufunga mashine za...
View ArticleSERIKALI IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO KUIDHINISHA BILIONI 1.6 KUTOKA MFUKO WA...
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama,wa pili kulia jana alipata fursa ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AKESHA OFISINI NA WANANCHI AKITATUA MIGOGORO YA ARDHI
Mkazi wa Kibaha, Pwani, Mariam Hamis akipata ufafanuzi kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuhusu eneo lakeNa Hassan MabuyeWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
View ArticleWAZIRI MKUU AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA DK. MWAKYEMBE, RAIS JPM ATUMA SALAM...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki...
View ArticleSPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI...
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio...
View ArticleDK. MABODI ASHIRIKI MAZISHI YA WATOTO WANNE WALIOFARIKI JANA BAADA YA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Saadalla akishiriki kumzikammoja wa watoto hao.Na Is-haka Omar, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ameshiriki...
View ArticleKIKWETE, DIAMOND NA VIONGOZI MBALIMBALI WAFIKA MSIMABANI NYUMBANI KWA DK....
 Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe Mareemu Lunah, wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke...
View ArticleZIARA YA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA KIGOMA MJINI NA VIJIJINI YAFANA KWA...
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kulia) akipokea zawadi ya Sabuni alipotembelea na kukagua Utekelezaji wa ilani ya CCM katika kikundi cha vijana...
View Article