MAMA SAMIA AONGOZA KUAGWA MWILI WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE, DAR
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akionekana kuwa mwenye huzunikubwa wakati akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mkewe, Marehemu Linah Mwakyembe, wakatiwa shughuli...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT CHAFANYIKA, DAR
 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akisoma mapato na matumizi ya Jumuia hiyo, katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji kilichofanyika jana Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA KAGOMA-BIHARAMULO-LUSAHUNGA, LEO
 Rais Dk. John Magufuli  leo amefungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo hadi Lusahunga yenye urefu wa kilometa 154.  Barabara hii imeunganisha mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma,Mwanza, Shinyanga na nchi...
View ArticleMAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU
Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akizungumza na Waandishi wa habari, leo jijini Dar es SalaamNA BASHIR NKOROMOJumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) imeapa kuwa ya mfano katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI ATEMBELEA SHULE YA SEMONARI KATOKE ALIKOSOMA ELIMU YA...
 Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimuonyesha Mkewe Mama Janeth Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya...
View ArticleMAVUNDE AWA GUMZO LEO HOSPITAL YA RUFAA MKOA WA DODOMA
Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde,akizungumza na wafanyakazi wa Hospital ya Mkoa wa Dodoma hii leo.  Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde,akibonyeza kitufe wakati wa kuzindua matumizi ya mfumo...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AMSIMAMISHA MUWEKEZAJI WA MKONGE MKOANI TANGA.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wakazi wa kata ya Mnazi wilaya ya Lushoto mkoni Tanga waliozuia msafara wake na kumpa malalamiko kuhusu mashamba matatu...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA SONGWE
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kulia ni mkewe Mary. Waziri...
View ArticleSHAKA AWATAKA VIJANA KUJIUNGA NA UJASIRIAMALI KIGOMA
 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kibondo Salome lihungilanywa akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijna wa CCM, (UVCCM), Shaka Hamdu shaka wakati wa kusain kitabu cha Mahudhurio ya...
View ArticleVYUO NA VYUO VIKUU-UVCCM WAMKINGIA KIFUA RAIS DK. MAGUFULI
Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu-UVCCM Daniel Zenda akizungumza wakati wa kikao cha kazi na viongoziwa Vyuo na Vyuo Vikuu mkoa wa Dar es Salaam, leoNa Nassir BakariUmoja wa Vijana wa...
View ArticleBALOZI WA ISRAEL NCHINI MHE. YAHEL VILAN AWAAGA WAFANYAKAZI WA TAASISI YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimshukuru Balozi wa Israel nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Yahel Vilan (kulia) kutokana na...
View ArticleMAELFU WALIVYOFURIKA KATIKA MKUTANO WA RAIS DK. MAGUFULI WILAYANI KASULU...
Maelfu ya wananchi wa Kasulu Mjini waliohudhuria Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyeweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kidahwe - Kasulu...
View ArticleSHAKA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA MAGU, ATUA WILANI UKEREWE
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akishiriki Kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka,...
View Article