TGGA YAENDESHA KAMBI YA MAFUNZO YA MTOTO WA KIKE KUJIAMINI, KUJITAMBUA NA...
Washiriki wa Kambi ya Mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kujifunza jinsi ya kufunga kamba vifundo na kupandisha bendera ya Taifa katika kambi ya siku tano...
View ArticlePOLEPOLE AFANYA MAZUNGUMZO UJUMBE KUTOKA KITUO CHA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akimsalimia Meneja Mradi wa kushawishi Siasa Shirikishi katika kuimarisha vyama vya Siasa hapa nchini, hasa katika ushiriki wa Wanawake na Vijana...
View ArticleMAKATIBU JUMUIA YA WAZAZI BARA NA ZANZIBAR WAMG'ANG'ANIA BULEMBO
NA HAPPINES MTWEVE, DODOMAMAKATIBU wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wamepinga kwa kauli moja azma ya Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Alhaj Abdallah Bulembo kutogombea tena nafasi hiyo na kumtaka kubadilisha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla maalum ya kukabidhi vifaa vya kusaidia wakina mama wajawazito wakati na baada ya kujifungua...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AANZA ZIARA MKOA WA PWANI, AHUTUBIA WANANCHI WA KIBAHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha Maili moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatuMkoani...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AMLILIA ALI YANGA
Rais Dk. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), uongozi wa Klabu ya Yanga na wanamichezo wote kwa ujumla kufuatia kifo cha shabiki mkubwa wa...
View ArticleBAJETI MPYA 2017/18 NA FURSA ZILIZOPO KWA VIJANA
Bajeti Mpya ya Serikali ya mwaka 2017/2018 ndiyo Bajeti ya pili tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani chini ya Uongozi mahiri wa Mhe. Rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli, bajeti hii...
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO YAJIKITA KATIKA KUKOMESHA MIGOGORO YA ARDHI
NA BASHIR NKOROMOMkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori amesema, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam, itahakikisha inamaliza migogoro ya ardhi iliyopo sasa na kuhakikisha hakuna mipya...
View ArticleSIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez, akizungumza wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre jijini...
View ArticleJPM; NIMEKATAA MIALIKO ZAIDI YA 60 KWENDA NJE ILI NISAFISHE NCHI KWANZA
RAIS John Magufuli juzi alitumia siku yake ya kwanza ya ziara ya siku tatu mkoani Pwani kueleza sababu za kutopenda kusafiri nje ya nchi, akisema “kwanza nataka kusafisha nchi.” Huku akituma salamu...
View ArticleRAIS DK MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula Jumatano Juni 21, 2017 katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani...
View ArticleZIARA YA RAIS DK. MAGUFULI MKOA WA PWANI, AZINDUA MIRADI UKIWEMO WA MAJI WA...
Rais Dk. John Magufuli akilijaribu kuliwasha Trekta katika kiwanda cha kutengeneza matrekta ya URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani, wakati akizindua Kiwanda hicho, akiwa katika ziara ya siku tatu...
View ArticleRAIS DK SHEIN AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIRRO
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Ikulu mjini Zanzibar, jana.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Mkuu wa Jeshi la...
View Article