Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MAKINIKIA: MMILIKI WA BARRICK PROF. JOHN THORTON AJISALIMISHA KWA...

Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo,...

View Article


DK MAGUFULI ALIPOKUTANA NA MWENYEKITI WA ACACIA, IKULU

Kuona >BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APOKEA TAARIFA YA KIKOSI KAZI KUTOKA MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndugu Amos Makala ya kikosi kazi cha mkoa wa Mbeya kuhusu mapendekezo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL MAKONDA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na watendaji mkoa na polisi katika hafla ya upelekaji wa gari 26 ya jeshi la polisi katika matengenezo mkoani Kilimanjaro jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 15,2017

View Article


VIDEO: AZIMIO LA WABUNGE KUWAADHIBU WAHUSIKA WA MIKATABA MIBOVU YA MADINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM WAMPA ZA USO LOWASSA.

Wamuambia ni Mkongwe wa kuzua mambo. Mwandishi wetu, Dar Es Saalam.  Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM)  umemtaka  Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rchmond Edward Lowassa kuacha uongo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA ATAJA MAMBO MAKUU MANNE KUKABILIANA NA UHALIFU JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. MakondaNa Mathias Canal, Dar es salaamMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda Jana June 14, 2017 wakati wa Hafla ya kukabidhiwa magari mabovu 26 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 16,2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIASPORA WAMPONGEZA RAIS DK JPM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 17,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR.KIGWANGALA ATOA AGIZO LA MIEZI MITATU KWA RMO PWANI

Picha mbalimbali zikionyesha vifaa tiba mbalimbali vilivyogharimu mil.400 ,vilivyotolewa msaada na Mbunge wa jimbo la Mji wa Kibaha ,Silvestry Koka ,ambapo vitagawiwa katika zahanati na vituo vya afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO DK. TITO MWINUKA AWAHAKIKISHIA...

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka (katikati), akiongozana na  Meneja wa mradi wa upanuzi wa Kinyerezi I, Mhandisi   Simon Jilima,(kushoto) na Meneja Mwandamizi wa Miradi wa...

View Article


VIDEO: BUNGE LA WATOTO LILIVYOTIA FORA MKOANI MWANZA

Jana juni 16,2017 Mataifa mbalimbali Barani Afrika yaliungana kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Mkoani Mwanza, Maadhimisho hayo yalifanyika Uwanja wa Furahisha kwa kujumuisha matukio mbalimbali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA DAR

 Watoto wakikimbia walipokuwa wakiandamana kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kinyerezi, ambapo yalifanyika kimkoa wilayani Ilala, Dar es Salaam leo.Maadhimisho hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 18,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gerson Mdemu akizungumza katika mkutano wa kazi kati ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wadau kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo mkoani Tabora,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIASA NA UONGOZI KWA KINA MAMA WA UWT

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum  Wanawake (CCM)  (MNEC) Bi. Khadija Hassan Aboud pamoja  na  viongozi  mbali mbali wa UWT...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE ASHIRIKI SIKU YA YOGA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb),wa katikati akishiriki Yoga leo tarehe 18 Juni, 2017 ambapo amekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya mchezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARIOBA: MSAIDIENI RAIS TUSHINDE VITA YA RASILIMALI ZA NCHI, SUALA LA...

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli alipokea ripoti ya Kamati ya kwanza na ya pili ya uchunguzi wa makontena 277 ya mchanga wa madini (makinikia)...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>