MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NGAZI ZA JUU WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Ngazi za juu wa Mapambano dhidi ya Rushwa uliofanyika kwenye ukumbi...
View ArticleMBUNGE WA CHALINZE ASHIRIKI ZIARA YA RAISI CHALINZE
Mbunge wa Chalinze ameshiriki kwenye Ziara ya Mheshimiwa Raisi Dr.John Magufuli alipofika Wilaya ya Bagamoyo.Ziara hiyo ya Raisi ambayo ilikuwa na kazi ya Kufungua Miradi ilianza na ufunguzi wa Kiwanda...
View ArticleUVCCM YAMLILIA ALLY YANGA
Na Mwandishi Wetu, DodomaUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umepokea kwa fazaa, huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mshabiki mashuhuri wa Timu ya Dar es Salam Youngs African...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI...
 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ya Bunge la Msumbiji,...
View ArticleDC TEMEKE MHE FELIX LYAVIVA AWAAGIZA WAKURUGENZI JIJINI DAR ES SALAAM...
MKUU wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Mhe Felix Lyaviva akizungumza wakati wasemina ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu hali ya sekta ya mawasiliano na utangazaji nchiniMkurugenzi Mkuu wa...
View ArticleMAVUNDE ATOA RAI KWA BENKI NA TAASISI ZA FEDHA KUSOGEZA HUDUMA ZAO VIJIJINI...
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mh Anthony Peter Mavunde, akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya Microfinance Bank PLC katika kata ya Mngeta,Wilaya ya...
View ArticleKINANA: FOMU ZA KUWANIA UONGOZI CCM HAZIUZWI, WALIOUZIWA WADAI KUREJESHEWA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana amesema ni marufuku kuuzwa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama kwa mgombea na kuagiza mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu adai...
View ArticleMOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
NA MWANDISHI WA K-VIS BLOGWATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleWABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA...
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, akizungumza na Viongozi na Wanachama wa UWT,...
View ArticleSHEIKH MKUU MUFT WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KUONGOZA SWALA YA EID...
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akitoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya shughuli mbalimbali na kuongoza...
View ArticleSHEIKH MKUU, MUFT WA TANZANIA SHIKH ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI...
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.Sheikh Mkuu Mufti waTanzania, Sheikh...
View ArticleRAIS MSTAAF ALI HASSAN MWINYI AFUTURU NA WATOTO YATIMA DAR
Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Kushoto) akichagua chakua anacotaka aliposhiriki na watoto yatima wa Kituo cha Kigogo kufuturu futari iliyoandaliwa na Kampuni ya  Bima ya AAR  jijini Dar...
View ArticleRAIS DK SHEIN KATIKA SWALA YA EID EL FITR, LEO
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waumini mbali mbali baada ya Swala ya ElIdd Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman...
View Article