DK. NTUYABALIWE FOUNDATION YAHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA VITABU
Wananafunzi wa Shule za Msingi jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla, wametakiwa kujenga utamaduni wa kupenda kusoma vitabu vikiwemo vya kiada na ziada, ili waweze kupanua wigo wa uelewa wa mambo...
View ArticleZIARA YA BULEMBO MKOA WA DAR ES SALAAM YAANZA LEO
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya CCM mkoa huo, mwanzoni mwa ziara yake, kukagua uhai wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA ANUNUA HISA VODACOM
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi Fomu zake za Ununuzi wa Hisa za Vodacom kwa  Dalali wa Hisa Bwana  Garase Mugisha ,5/5/2017 , Wanao shudia katikati kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Philp...
View ArticleATCL KUPATA NDEGE MPYA JULAI MWAKA HUU
Na Tiganya VincentSerikali imesema kuwa mwezi Julai mwaka huu (2017)itanunua ndege nyingine mpya aina ya Dash 8-Q 400 kwa ajili kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania ili  liliweze kutoa kutoa...
View ArticleBULEMBO: MASALIA YA WALIOKISALITI CHAMA DAR WATAENDELEA KUSHUGHULIKIWA
NA THOMAS MTIGE, DAR ES SALAAMCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hali ya kisiasa ndani ya Chama mkoani Dar es Salaam si shwari kutokana na kugubikwa na masalia ya wanachama na viongozi walioisaliti CCM...
View ArticleUWT YAOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI WALIOKUFA KWA AJALI MKOANI ARUSHA
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umepokea kwa majonzi na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu 36 ambao ni wanafunzi 33, walimu wawili na dereva wa gari la shule ya msingi Lucky Vicent ya Arusha...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN APOKELEWA NA RAIS WA DJBOUT ISMAIL OMAR GUELLEH
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Djbout Mhe.Ismail Omar Guelleh alipofika katika Ikulu ya Djbout leo akiwa katika ziara ya kiserikali...
View ArticleKIJANA GIRL GUIDES APAMBANA MEXICO KUWA MLIMA KILIMANJARO UPO TANZANIA BADALA...
 Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa wa...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA...
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (Watatu kushoto) akiwa kwenye Shughuli ya majonzi ya kuaga miili ya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja waliokufa katika ajali ya gari mkoani Arusha, juzi,...
View ArticleTANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU AFRIKA KWA SHERIA BORA YA USIMAMIZI NA...
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Tanzania imeshika nafasi ya tatu barani Afrika ikiongozwa na nchi ya Afrika Kusini na Nigeria kwa kuwa na Sheria bora ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali.Kauli hiyo...
View ArticleCCM Z'BAR YAWATAKA WANA CCM KUTUMIA VYEMA FURSA YA UCHAGUZI
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KATIBU wa  Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi  CCM Zanzibar,  Waride Bakari  Jabu  amewataka  wanachama  wa  CCM  Tawi la Chukwani  kutumia  vizuri fursa ya...
View ArticleMAMIA YA WAHIJIRI WAHOFIWA KUFARIKI BAADA YA BOTI KUZAMA KATIKA BAHARI YA...
Wahajiri zaidi ya 200 wanahofiwa kuwa wamefariki dunia katika bahari ya Mediterania katika muda wa juma hili, kulingana na ushahidi uliotolewa na manusura na baada ya maiti kadhaa ikiwemo mtoto mdogo...
View ArticleMZEE MWINYI, ATIMIZA UMRI WA MIAKA 92, HAPPY BIRTDAY MZEE WETU
Rais mstaafu wa awamu ya pili, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo Mei, 09, 2017, ametimiza umri wa miaka 92, hivyo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa....
View Article
More Pages to Explore .....