KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua wakati wa kikao cha Management Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge,...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), leo tarehe 28 Aprili, 2017 amekutana na Bi. Maniza, Mwakilishi Mkazi wa UNICEF nchini. Bi. Maniza aliongozana na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili kijiji cha Mabama wilayani Uyui mkoani Tabora katika uzinduzi wa mradi wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40...
View ArticleWAZIRI MUHONGO AWATAKA WATAALAM KULISAIDIA TAIFA
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akisisitiza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Mdhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Petroleum Upstream Regulatory Authority – PURA)...
View ArticleDKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE...
jengo la Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo...
View ArticleVIDEO – SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA LAZINDUA RASMI USAFIRI WA ANGA DAR – SONGEA
Wafanyakazi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) wakigawa wine kwa viongozi ambao wamehudhuria uzinduzi wa usafiri wa anga Dar es Salaam – Songea, kupitia shirika hilo katika uwanja wa ndenge wa songea...
View ArticleRAIS MAGUFULI ADHURIA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MJINI MOSHI
Rais Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU WALIVYOSHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MJINI DODOMA, LEO
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma. Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa...
View ArticleRC TABORA ATOA SIKU MBILI KWA HALMASHAURI KULIPA WANYAKAZI BORA WA MWAKA JANA
Na Tiganya Vincent, RS-TaboraSerikali ya Mkoa wa Tabora imetoa siku mbili kwa Halmashauri tatu za Mkoa huo kuhakikisha wanatimitiza ahadi zao za kuwalipa fedha au kutoa zawadi kwa wanyakazi bora...
View ArticleKATIBU TAWALA WILAYA YA MONDULI NDUGU SIYANTEMI KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Monduli Robert Siyantemi akiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Kimkoa maadhimisho hayo yamefanyika Uwanja wa Sheik Amriabed Arusha leo tarehe 1/5/2017
View ArticleRAIS DK SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI MJINI ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha...
View ArticleSHAKA AWATAKA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI SHUPAVU, WACHAPAKAZI
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya MpandaNa Mwandishi Wetu, KataviUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka wanachama wa CCM...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AREJEA DAR LEO BAADA YA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO
Moshi, KilimanjaroRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Mei 2017, amemaliza ziara ya siku tatu mkoani Kilimanjaro, ambapo akiwa mkoani humo pamoja na mambo...
View ArticleMAKONDA NA MNYETI WASAMEHEWA NA BUNGE BAADA YA KUOMBA RADHI
Na Mwandishi WetuKamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge la Tanzania, leo imewasilisha Bungeni taarifa za matukio mbalimbali ambazo imezifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuwaita na kuwahoji wahusika...
View Article