CCM Z'BAR YASIFU JUHUDI ZA SMT NA SMZ ZA KUTAFUTA UFUMBUZI WA KERO ZA MUUNGANO
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Bi. Waride Bakari Jabu amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na...
View ArticleSPIKA WA BUNGE LA TANZANIA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA ZAMBIA MJINI DODOMA, LEO
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya...
View ArticleWABUNGE WAMTEMBELEA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA MEXICO JIJINI...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi. Katika picha toka kushoto ni Afisa wa Bunge...
View ArticleMKUU WA MAJESHI AKAGUA NA KUJIRISHA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO, MJINI...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Bunge na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama wakikagua maandalizi ya mwisho...
View ArticleMISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...
View ArticleZIARA YA KAIMU MKUU WA IDARA UVCCM JOKETI MWENGELO YAVUNA WANACHAMA WAPYA 680...
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa Nne kulia akiwasili kata ya Hombolo alipokwenda kukabidhi kadi kwa wanachama wapya. Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAAJIRI KUHAKIKISHA MITAMBO NA VIFAA VYA KAZI VINAFANYIWA...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde akitoa hotuba yake wakati wa mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi...
View ArticleBALOZI WA IRAN AMEAHIDI KUSAIDIA TANZANIA KUBADILISHA UZOEFU KWENYE SEKTA YA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametembelewa na Balozi wa Iran nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye ofisi ya Wizara, Dodoma. Katika maongezi yao Mhe. Balozi ameishukuru Serikali kwa...
View ArticleMSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 53 YA MUUNGANO WA TANZANIA
Katika kuadhimisha Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...
View ArticleDC GONDWE AZINDUA CHANJO YA POLIO WILAYANI HANDENI,AWATAKA WANANCHI KUTILIA...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh Godwin Gondwe akizindua zoezi la utoaji chanjo Kwa watoto kwa kumpatia mtoto matone ya chanjo ya polio.Mh Godwin Gondwe akiwa kwenye picha ya pamoja na walezi wahakikishe...
View ArticleMAADHIMISHO MIAKA 53 YA MUUNGANO: RAIS ASAMEHE WAFUNGWA WAKIWEMO WENYE...
Katika kuadhimisha Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...
View ArticleTGGA YAZINDUA UPANDAJI MITI 600 KILA MKOA TANZANIA
 Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari Mtumba Manispaa ya Dodoma wakiwa na miche ya miti kila mmoja wao kabla ya kuipanda kwenye uzinduzi wa upandaji miti uliofanywa kitaifa na Girl Guides Tanzania...
View ArticleDR. MABODI AWATAKA WANANCHI KUITUMIA HOTUBA YA DKT. MAGUFULI KAMA NYENZO
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar   kimeunga mkono na kuipongeza hotuba iliyotolewa na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za...
View ArticleKIONGOZI WA UPINZANI NCHINI ZAMBIA KUFUNGWA JELA AU KUNYONGWA
Mahakama nchini Zambia leo imekataa kufuta mashitaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani, Hakainde Hichilema, kesi ambayo imezusha wasiwasi wa kisiasa miezi kadhaa baada ya uchaguzi nchini humo...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI KUWA MGENI RASMI MAADHIMSHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI
Na Mwandishi WetuRais Dk. John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari, yaliyopangwa kufanyikamwezi Mei mwaka huu.Maadhimisho hayo ya mwaka huu, yatafanyikia...
View ArticleWANAOPATA UJAUZITO KURUDI MASHULENI ASEMA WAZIRI UMMY
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu akimuwakilisha Makamu wa Raisi Bi Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa  mkutano wa kwanza wa Masuala ya Usawa wakijinsia...
View ArticleMWANARIADHA SIMBU APOKELEWA BUNGENI LEO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), leo tarehe 27 Aprili, 2017 amempokea mwanariadha na mshindi wa tuzo ya dhahabu kwenye Mumbai Marathon Bw. Alphonce...
View Article