RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA KENYA HAPA TANZANIA, LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Kenya hapa Tanzania, Chirau Ali Makwere (kushoto), alipofika Ikulu Mjini Unguja, leoRais wa...
View ArticleUVCCM YAMGEUZIA KIBAO MBUNGE WA JIMBO LA SIMANJIRO JAMES OLE MILYA
James MillyaNa Woinde Shizza, ManyaraUmoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umemjia juu Mbunge wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Milya, na kusema kwamba malalamizko aliyotoa dhidi ya Kaimu...
View ArticleKINANA AONGOZA MAZISHI YA KHADIJA KAMBA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, ASEMA CCM...
Na Bashir NkoromoKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameongoza mamia ya wananchi katika maziko ya muasisi wa chama cha Tanganyika African Union (TANU) na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khadija...
View ArticleMAKATIBU 32 SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM, WAPIGWA SEMINA...
Na Mwandishi Wetu.Shirikisho la Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, limefanya semina ya utendaji kwa makatibu wake wote wa matawi katika mkoa wa Dar es Salaam, kwa lengo la kuwajengea uwezo katika...
View ArticleMBUNGE AZZAN MUSSA ZUNGU ALAZWA
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Azzan Musa Zungu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya moyo ambapo kwa sasa hali yake inaendelea vizuri. Kutoka...
View ArticleSHIRIKISHO VYUO VYA ELIMU YA JUU LA MTETEA RAIS DK MAGUFULI, KERO KUHUSU...
➤Lasema Rais ameshatimiza wajibu wake kwa kutoa fedha za mikopo➤Ltaka lawama ziwashukie watendaji Bodi ya Mikopo➤Wanafunzi hewa lawatupia lawama Bodi ya MikopoNa Bashir NkoromoWadau wa elimu wametakiwa...
View ArticleRAIS DK MAGUFULI ATEUA MABALOZI 15 LEO, LUHWAI NA DK PINDI CHANA WAMO
Na Bashir Nkoromo, CCM Blog, DarNaibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi na Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk Pindi Chana wameondoka Rasmi katika Utumishi wa Chama Cha...
View ArticleRAIS DK MAGUFULI NA MKEWE KUTOA SH. MILIONI TANO KUSAIDIA MTOTO ANAYEUGUA...
Na Bashir Nkoromo, CCM BlogRais Dk. John Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli, wameahidi kutoa mchango wa Sh. Milioni 5 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto mwenye umri wa miaka saba, Haidari...
View ArticleMANGULA ASAINI KITABU CHA MAMBOLEZO YA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA CUBA FIDEL...
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo...
View ArticleDAS ILALA EDWARD MPOGOLO AZINDUA MAADHIMISHO KILIWILAYA YA SIKU 16 KUPINGA...
Bango liliandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho hayoKatibu Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akiwasili kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mwembeni, Vngunguti kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya siku...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI WA MAUZO WA KAMPUNI YA NDEGE YA BOEING
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa mauzo wa kampuni ya Ndege ya Boeing Jim Deboo aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo pamoja na ujumbe...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI KUU CCM KUFANYIKA DAR ES SALAAM, DESEMBA 11-12 , 2016
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) Desemba 11 - 12/12/2016 na kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Desema...
View ArticleRAIS DK MAGUFULI KUONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA....
Rais Dk. MagufuliRais Dk. John Magufuli ambaye ndiye Amirijeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, ataongoza kwa mara ya kwanza sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania, zitakazofanyika jijini...
View ArticleDAR YASHIKA NAFASI YA SITA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI BARANI AFRIKA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mbali na jitihada za makusudi za Serikali na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini bado hali siyo ya kuridhisha ambapo Jiji la Dar es Salaam linashika nafasi ya Sita...
View ArticleCCM YAOMBOLEZA KIFO CHA MBUNGE WA ZAMANI WAKILWA PROFESA IDRISA MTULIA
ENZI ZA UHAIKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (ushoto) akisalimiana na Profesa Idrisa Mtulia katika mji mdogo wa Ikwiriri wilayani Rufiji akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman...
View ArticleBENKI YA BancABC YATOA OFA KWA WATEJA WANAOFUNGUA AKAUNTI YA AMANA MSIMU HUU...
Dar es Salaam, TANZANIAWateja wa Benki ya BancABC wanaofungua akaunti ya amana kwa kuweka fedha kuanzia sh. milioni kumi kwa muda maalum katika msimu huu wa sikukuu watanufaika zaidi kwa kupata riba ya...
View ArticleNAPE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Blogg Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa Blooger hao yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa...
View Article