Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUANZA UTOAJI TUZO ZA UMAHIRI KWA WAANDISHI WA HABARI WA BLOG NCHINI...

Na Beatrice Lyimo, DARSERIKALI imesema mwakani itaanza utoaji tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii hususan wa Blog.Hayo yamesemwa leo jijini Dar  es salaam na Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AAGIZA MACHINGA, WAFUGAJI NA WACHIMBAJI WADOGO WASITIMULIWE...

Dk MagufuliIKULU, DAR ES SALAAMRais Dk. John Magufuli amemuagiza Waziri na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusitisha mara moja utekelezaji wa kuwaondoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANNA ABDALLAH AFURAHISHWA NA KUONGEZEKA KWA NAFASI YA WANAWAKE KATIKA JAMII

Anna AbdallahNa Jacquiline Mrisho–MAELEZO.Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Anna Abdallah amefurahishwa na kuongezeka kwa nafasi ya wanawake katika jamii kwa kuhusishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHARIRI WA HABARI MSTAAFU WA MAGAZETI YA UHURU, MZEE NAKAJUMO ATINGA NEWSROOM...

 Mhariri wa Habari Mstaafu wa Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani Mzee Joe Nakajumo akimpiga msasa Kaimu Mhariri wa Makala Selina Wilson, katika chumba cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO DESEMBA 7, 2016

UK

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA CUBA HAPA NCHINI AMUAGA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kumuaga kufuatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPTA WA BARAZA LAVYAMA VYA SIASA KUFANYIKA DESEMBA 19,...

DAR ES SALAAMUchaguzi wa viongozi wapya katika Nafasi ya Mweneyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, utafanyika Desema 19, 2016, tarehe ambayo viongozi walipo sasa watakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSEMAJI WA CCM, OLE SENDEKA ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA NJOMBEA, KUFUATIA...

Na Bashir Nkoromo, DSMRais Magufuli wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amemteua Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.Sendeka anachukua  nafasi iliyoachwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO DESEMBA 8, 2016

Magazeti haya ni kwa hisani ya Michuzi Matukio Blog

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAKAGUA MPAKA WAKE NA ZAMBIA

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula akikagua eneo linalotenganisha mpaka (buffer zone) kati ya Tanzania na Zambia katika eneo la Tunduma, Kulia kwa Waziri ni Kaimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA, AMKABIDHI...

Na Mwandishi MaalumRais Mstaafu na Kamishna wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa ya  Elimu  Duniani  (UN Education Commission on Financing Global Education Opportunity) juzi, Desemba 6,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA...

 . Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akisalimiana na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUAI: CCM ITAENDELEA KUTILIA MKAZO MAFUNZO KWA WATENDAJI WAKE

Na Is-haka Omar, Zanzibar.NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amesema Chama kitaendelea na utamaduni wa kutoa mafunzo kwa watumishi na watendaji wake ili waweze kufanya kazi kwa mujibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA SIKU YA UZINDUZI WA MPANGO KAZI WA WA TAIFA KUTOKOMEZA UKATILI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AONGOZA MAADHIMISHO MIAKA 55 YA UHURU, ASEMA MWAKANI SHEREHE...

Na Bashir Nkoromo, DarRais wa Tanzania Dk. John Magufuli amehitimisha sherehe za Maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika, katika shamrashamra zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar...

View Article


VIDEO: WATANZANIA 12 WASHIKILIWA MSUMBIJI

View Article

VIDEO: HOTUBA YA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM WAMUUNGA MKONO RAIS DK. MAGUFULI KWA...

Bashir Nkoromo-CCM BlogSHIRIKISHO la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, limemuunga mkono Rais Dk. John Magufuli, kwa kuamua maadhimisho yajayo ya Uhuru kufanyika Dodoma, likisema uamuzi huo umedhihirisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI OLE SENDEKA NA WENZAKE WAAPISHWA LEO IKULU JIJINI DAR ES...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Olonyokie Ole -Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA DANGOTE LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es SalaamRais wa...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>