Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22433 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAFUNGUA BARAZA LA WAHITIMU WA CHUO...

 Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila (kushoto), akihutubia wakati akifungua Baraza la Wahitimu wa chuo hicho, Dar es Salaam leo. Katibu wa Baraza la Wahitimu wa...

View Article


CCM YAOMBOLEZA KIFO CHA BALOZI MSTAAFU WAZIRI JUMA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndg. Henry Shekifu kufuatia kifo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MAKONDA ILALA, CHANIKA KWAWAKA, MWENYEKITI WA MTAA ASWEKWA KITUO CHA...

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Zavala, Buyuni wilayani Ilala, Chiku Mwalufamba, akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa kike wakati akimpeleka kwenye Kituo cha Polisi cha Chanika, baada ya Mkuu wa mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA, LEO

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AZUMGUMZA LIVE KATIKA MKUTANO WA MAKONDA NA WANANCHI UBUNGO,...

RAUS DK MAGUFULINa Bashir Nkoromo, UbungoRAIS Dk. John Magufuli ameeleza kufurahishwa kwake, na utaratibu wa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, kwenda kwa wananchi kusikiliza kero.Amesema, utaratibu huo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA ATIKISA UBUNGO, AMKARIBISHA RAIS MAGUFULI KUZUNGUMZA LIVE KWA SIMU...

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikata utepe kuzindua vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari ya Urafiki wilayani Ubungo mkoani humo, leo akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AMALIZA ZIARA WILAYA YA UBUNGO, AKUTA UJENZI WA BARABARA HEWA KATA YA...

MAKONDANA BASHIR NKOROMO, UBUNGOWakati imezoeleka kusikia kuwepo kwa wafanyakazi hewa leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paull Makonda ameshangaa baada ya kubaini kuwepo barabara hewa ambayo ujnenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMLILIA RAIS MSTAAFU WA CUBA, FIDEL CASTRO

FIDEL CASTRORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Raul Castro kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Mhe. Fidel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MWINYI KATIKA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA ATINGA UWANJA WA FISI, TANDALE KATIKA KATA YA MANZESE, ASHUHUDIA...

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akibisha hodi kwenye mlango mmoja katika banda linalodaiwa kutumiwa kwa biashara ya ukahaba, katika eneo maarufu kwa jina la Uwanja wa Fisi, lililopo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AWALAKI MARAIS KUTOKA ZAMBIA NA CHADI LEO

 Rais John Magufuli (kulia), akimlaki mgeni wake, Rais wa Zambia, Edgar Lungu, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2016.(PICHA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MAKONDA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KINONDONI YANOGA LEO, AKATIZA...

 TUCHAPE KAZI KIONGOZI: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimwaga kicheko na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya mkoa huo, walipokuwa wkijadili jambo, baada ya kuzungumza na viongozi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COMRADE FIDEL CASTRO: KIONGOZI KEKEE WA DUNIA ALIYEACHA URITHI WA VITU VIWILI...

.Ndugu zangu,Dunia itamkumbuka Fidel Castro. Afrika itamkumbuka sana Fidel Castro, lakini, watu wa Cuba watamkumbuka zaidi Fidel Castro.Mwanamapinduzi Fidel Castro ni kiongozi pekee wa dunia ambaye,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKADA KUTOKA CHUO CHA VIONGOZI WATENDAJI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA...

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI SHULE YA ACADEMIC INTERNATIONAL WASHINDA MTIHANI WA CAMBRIDGE

Wanafunzi wa shule ya Academic International school, Harshvardhan Kabla (kushoto) ambaye ameshika nafasi ya kwanza duniani katika somo la Kompyuta kwa wanafunzi wa “A Level” kwa mitihani ya Cambridge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA, LEO JIJINI...

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na  Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GPSA YAOKOA ZAIDI YA SH. BILIONI MOJA ZA SERIKALI KUPITIA MPANGO WA MANUNUZI...

Na Mwandishi WetuSerikali kupitia Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), imeokoa sh bilioni 1.3 baada ya wakala hiyo kununua kwa pamoja magari 392 katika mpango wa serikali wa manunuzi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni akiwa na Kamishna Mkuu wa Magereza John Casmir Minja kabla ya kuongea na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA RASMI YA MWENYEKITI WA CCM, DK. JOHN MAGUFULI

Picha rasmi ya Ndugu John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa  Chama Cha MapinduziWatumishi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, wakitazama picha rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Rais John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA DANGOTE MTWARA, CHASIMAMISHA UZALISHAJI SARUJI

MtwaraUZALISHAJI katika kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara umeathirika kwa kiasi kikubwa tokea wiki iliyopita. Tatizo hili la muda limetokana na hitilafu za kiufundi katika mitambo ya...

View Article
Browsing all 22433 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>