Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22444 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANGULA ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI KUUNGA MKONO VIJANA WANAOSOMA NA...

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akishiriki kufyatua matofali leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANGULA AFURAHISHWA 100 KUFUKUZWA UANACHAMA WA CCM MWANZA, ASEMA ANAYEFAA...

Mzee Philip MangulaNa Bashir Nkoromo, MkurangaMAKAMU Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula ameelezea kufurahishwa kwake kufukuzwa kwa wanachama 100 mkoani Mwanza kwa kubainika kukisaliti chama wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YASHINDA UMEYA KINONDONI LEO

Meya mpya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Samwel Sitta akiongoza kikao cha madiwani wa Manispaa hiyo baada ya kuchaguliwa leo katika u haguzi ambao amepita kwa kishindoMMeya wa Kinondoni Benjamin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFALME MOHAMMED WA MOROCCO AWASILI NCHINI

Mfalme  Mohammed VI wa Morocco akishuka kwenye ndege iliyomleta akiwa ameongozana na ujumbe wake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere  International Airport (JNIA) jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ALIPOONGOZA UJUMBE WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA...

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu  Abdulrahman Kinana  akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Ndugu Liu Yunshan, mjini Chongqing, nchini China hivi karibuni. Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AMKARIBISHA MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO IKULU, DAR ES...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WIZARA YA UJNZI, MAWASILIANO NA...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji  wakati wa  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA MATAIFA WAADHIMISHA MIAKA 71, UKIAHIDI KUWEZESHA VIJANA

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (wa tatu kulia) akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee akiwa ameambatana na mwenyeji wake Mratibu...

View Article


UBUNGO MUNICIPAL COUNCIL TV

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKISHO LA ELIMU YA JUU WAKUTANA NA MBUNGE JASMINE TUSEMWA.

MBUNGE WA VITI MAALUMU MH. JASMINE TISEKWA BUNGA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA ELIMU YA JUU.Viongozi wa Shirikisho la Wanafunzi wa  Elimu ya juu kwa mara ya kwanza leo wamekutana na mbunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA, ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE, RAIS UHURU...

Rais Dkt John Pombe Magufuli, akilakiwa na Mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta alipokaribishwa Ikulu, Nairobi nchini Kenya leo. Rais Magufuli yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI KATIKA DHIFA YA ALIYOANDALIWA NA RAIS UHURU KENYATTA NCHINI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi. Rais wa Kenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: NI MUHIMU ICC NA AFRIKA KUZUNGUMZA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,Balozi Tuvako Manongi  akizungumza  wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  lilipopokea na kujadili Ripoti ya  Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha ofisini kwake Spika wa bunge la Afrika mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA ILALA SOPHIA MJEMA AANZA KWA MWENDO KASI UTEKELEZAJI AGIZO...

.MANISPAA YATENGA MASOKO MATANO.BARABARA ZA LUMUMBA NA MKUNGUNI KUTUMIKA IJUMAA HADI JUMAPILIMkuu wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAMTEMBELEA SPIKA WA KWANZA WA BUNGE...

Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA ATEMBELEA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA...

 Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana.  Kushoto ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) AISHUKURU TANZANIA

Balozi Tuvako Manongi na Rais wa ICC  Jaji Gumendi baada ya kumaliza  mazungumzo yaoNa  Mwandishi Maalum, New  YorkRais wa  Mahakama ya   Kimataifa ya  Makosa ya Jinai ( ICC) Jaji Slivia Fernandez de...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HAPI AUNGURUMA KATA YA MSASANI LEO, ATAKA MALIPO YOTE YAFANYWE KWA MASHINE...

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, akipokea salm za vijana wa vikundi vya ulini shirikishi, alipowasili kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ta Msasani, kwa ajili ya kufanya ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA MSTAAFU WA BUNGE LA TANZANIA, SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA USIKU WA...

View Article
Browsing all 22444 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>