WABUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA PWANI WASAIDIA UJENZI WA DARAJA
Wabunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani Zaynab Matitu Vullu na Subira Khamis Mgalu wakikagua Ujenzi wa Daraja la Usimbe -Maparoni - Msala wilaya mpya ya Kibiti. Wabunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani Zaynab...
View ArticleJARIDA LA WIZARA YA HABARI TOLEO LA 2 LA MTANDAONI
JARIDA LA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO by WHUSM on Scribd
View ArticleWAZIRI NAPE AWASILISHA MUSWADA WA HUDUMA ZA HABARI KWA KAMATI YA KUDUMU YA...
Waziri Nape akisoma muswada huoNa Mwandishi Wetu-DodomaSERIKALI imewasilisha mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Muswada wa Huduma za Habari ikieleza kuwa ni sheria itakayoleta...
View ArticleMASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Lawrence Lachmansingh (wapili kushoto)...
View ArticleGODBLESS LEMA AZUSHA TAFRANI KWENYE SHUGHULI YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI...
Habari picha na Woinde Shizza, ArushaMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amezusha vurugu kwa kutaka kupigana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kwa sababu ya kutaka apewe 'ujiko' katika hafla...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI WALIOKUFA KATIKA AJALI YA BASI LA...
Rais Dk. MagufuliDAR ES SALAAMRais Dk. John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, kufuatia vifo vya watu 11 katika ajali ya basi la Barcelona, jana Oktoba 17,...
View ArticleNAMAINGO KUWANUFAISHA WAJASIRIAMALI 3000 KWA MRADI WA KUKU CHOTARA WA THAMANI...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency (T) LTD, Ubwa Ibrahim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wajasiriamali kuhusu jinsi ya kuzichangamkia fursa mbalimbali za...
View ArticleKIJANA MATATANI KWA KUJARIBU KUKIMBIA NA PINGU MAHAKAMANI, DAR LEO
Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI SUDAN,OFISI NDGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA, DAR...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 20, 2016, Ofisi...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MALINYI KUTUMIA POSHO ZA MWENGE ZILIZOOKOLEWA NA DK....
NA MWANDISHI WETU MALINYIMkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majura Kasika, ameagiza posho ya zaidi ya sh. milioni 2, zilizookolewa kwa agizo la Rais Dk. John Magufuli, kufuta mialiko ya safari...
View ArticleMWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) JAJI MSTAAFU DAMIAN LUBUVA...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga (kulia)...
View ArticleMAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA WADAU WA NSSF, APOKEWA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua mkutano wa sita wa Wadau wa NSSSF...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI
Na Mwandishi WetuKamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeendelea na kikao cha kujadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kwa kupitia kifungu kwa kifungu kwa ajili...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA : SERIKALI IMEPUNGUZA DENI LA MIFUKO YA HIFHADI ZAA JAMII
Waziri Mkuu Majaliwa akifungua mkutano huo leoNA MWANDISHI MAALUM, ARUSHAWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeshalipa sh. bilioni 722.7 kati ya sh. bilioni 964.2 za madeni ya michango...
View Article
More Pages to Explore .....