Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECH YA TAIFA STARS YAWAKUTANISHA WATU MBALI MBALI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa soka nchini, kulia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanznaia (TFF), Jamal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), ASHIRIKI KUPANDA MITI AINA MIKOKO KATIKA FUKWE...

Katika kuelekea  siku ya mazingira duniani,Leo tarehe 4/6/2016 Mhe.January Makamba ameitumia siku yake kushirikiana na wananchi wa Kata na mtaa wa bweni wilayani Kinondoni,jijini dar es salaam. kupanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLE SENDEKA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KILWA MKOANI LINDI, AFURAHI KUONANA...

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akizungumza wakati wa kuagana na Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka, mwishoni mwa ziara ya Msemaji huyo wa Chama, katika wilaya ya Kilwa mkoani humo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AAHIDI KUJENGA BARABARA YA UBUNGO KIBANGU HADI RIVER SIDE,...

Na Bashir NkoromoRais DK. John Magufuli ameahidi kwamba Serikali yake itaitengeneza barabara kutoka Ubungo Kibangu hadi Riverside itakayoungana na Barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam.Taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLE SENDEKA ANOGESHA KARAMU YA UZINDUZI WA JENGO JIPYA KINONDONI JIJINI DAR...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Samsa Real Estate Abdulfatah Salim, akimkaribisha Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka katika karamu ya uzinduzi wa jengo la kisasa la kupangisha lililojengwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM: UKAWA WAKIMCHAFUA RAIS DK. MAGUFULI TUTAKULA NAO SAAHANI MOJA KUMTETEA

NA BASHIR NKOROMOCHAMA Cha Mapinduzi (CCM),  kimeonya  vikali  juu ya  mkakati wa  viongozi wa UKAWA,  wa kufanya ziara   mikoani, katika kile ambacho wanakiita ni kwenda kuishitaka serikali  ya awamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATEUA JAJI KIONGOZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HAPI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI NYUMBANI KWAKE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi leo mchana ametembelea Rais mstaafu wa awamu ya pili Mh. Mzee Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es salaam. Akiwa nyumbani kwa Mzee Ali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLE SENDEKA AWAASA WAMASAI JAMII YA PARAKUYO KUTEUA CHIFU MWENYE HEKIMA NA...

Na Bashir Nkoromo, KibahaMsemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, ameongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK RAIS WA KWANZA AFRIKA KUFUNGULIWA MLANGO IKULU YA OBAM

JK alikuwa Rais wa kwanza wa Afrika kufunguliwa mlango Ikulu ya Obama..Msingi wa mahusiano mazuri kati ya Marekani na Afrika katika utawala wa Obama kwa kiasi kikubwa ulianza kujengwa na Rais wa Awamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA: USHIRIKIANO BADO UNAHITAJIKA KUUKABILI UGONJWA WA UKIMWI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia,Wazee na Watoto,DK.Hamisi Kigwangalla akizungumza katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa  Mataifa kuhusu ukimwi unaoendelea hapa Umoja wa Mataifa,Na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI NA NA JAJI KIONGOZI,...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Shaaban Ali Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, leo, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEONCE MULENDA, KIJANA MSOMI MWENYE NDOTO ZA KUWA KIONGOZI WA NGAZI YA JUU

* Asema Dk. Magufuli atarejesha nchi katika misingi ya Mwalimu Nyerere* 'Alikula sahani moja' na vigogo kuwania Urais na Uspika wa Bunge 2015* Ni msomi wa Shahada ya uzamivu (PhD) katika masuala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA 102.5 LAKE FM MWANZA KWA JAMII KATIKA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA...

Katika Kuadhimisha Siku ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi duniani hii leo,102.5 Lake Fm Mwanza, Inasema "Tumechagua Kutowabagua, Kuwatetea na Kuwalinda" #‎LakeFm‪#‎Rahayarockcity ‪#‎RadioyaWananzengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA MWIGULU NCHEMBA NA DK. CHARLES TZEBA LEO, IKULU

Rais Dk. John Magufuli akimwapisha kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WCF YAWAFIKIA MADAKTARI 380 IKIJIANDAA KUANZA KUTOA FIDIA JULAI MOSI 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, Masha Mshomba, akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tano kwa madaktari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, yanayofanyika mjini Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AGAWA FUTARI KWA WATU WENYE MAHITAJI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI NA WAUMINI WA KANISA LA THE POOL OF SILOAM WAMKABIDHI HAPI SH....

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam,  Salum Hapi akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMA AWASHUKIA WANASIASA WANAOMKWAZA RAIS DK. MAGUFULI, AWATAKA WAMWACHE...

Na Bashir NkoromoMWANASIASA mkongwe nchini na Naibu Waziri Mkuu mstaafu, Agostine Mrema amewataka wapinzani kumwacha Rais Dk. John Magufuli afanye kazi yake kwa kuwa amechaguliwa kihalali na bado...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIJINI DAR ES ASALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Korea Song Geum-Yung, Ofsni kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba ijini Dar es Salaam, leo Juni 15, 2016....

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>