NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RAJAB LUHAVI AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA CCM WA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akizungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga leo jioni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga. Kushoto ni...
View ArticleUN YAIPONGEZA TANZANIA KWA UHARAKA WA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA...
Na Mwandishi MaalumUmoja wa Mataifa umeipongeza Tanzania kwa namna ambavyo imechukua hatua za haraka za kukabiliana na tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia zinazowahusisha baadhi ya walinzi wa...
View ArticleHUZUNI: MTOTO WA MUHIDIN ISSA MICHUZI ALIYEFARIKI NCHINI AFRIKA KUSINI AZIKWA...
Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18)yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, RAJABU LUHWAVI ATEMBELEA SHINA LA CCM USAGARA,...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kata ya Usagara Mashariki, Ramadhani Makange, alipowasili kwenye Shina namba kumi, Tawi la Usagara Mashariki mkoani Tanga,...
View ArticleLUHWAVI AWASILI MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO, AZUNGUMZA NA WATENDAJI WOTE...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akipewa saluti na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Moshi mjini, Amiri Masawe, baada ya kuwasili mjini Moshi na kufika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro...
View ArticleMWENGE WA UHURU WATUA DAR UKITOKEA ZANZIBAR LEO
Mwenge ukiwa umepokewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya kuwasili leo Mei 16, 2016, ukitokea Zanzibar.KWA PICHA KIBAO TUKIO HILO>>BOFYA HAPA
View ArticleLUHWAVI ATEMBELEA SHINA NAMBA 22, KATA YA BONDENI WILAYA YA MOSHI MJINI...
Mwenyekiti wa Shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, Kata ya Bondeni Wilaya ya Moshi mjini Mkoani mkoani Kilimanjaro leo, Shufaa Kibaya, akimkaribisha nyumbani kwake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,...
View ArticleKAIMU KATIBU WA NEC YA CCM, IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA-SUKI, DK....
Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana akizungumza wa maofisa katika idara hiyo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kaimu Katibu wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI MBALIMBALI PAMOJA NA KATIBU MTENDAJI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO
Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT ASHA_ROSE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar...
View ArticleDC KINONDONI AMTEMBELEA MUFTI MKUU WA TANZANIA OFISINI KWAKE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Shekhe Abuubakar Zubeir. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally HapiMufti akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania Shekhe...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia tarehe 20 Mei, 2016.Rais Magufuli Atengua...
View ArticleNAPE ATOA WITO WAKATI WA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KUZAMA KWA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa kuangalia mazoezi ya uokoaji majini yaliyofanywa na vijana 50 waliohitimu mafunzo ya uokoaji yaliyodhaminiwa na...
View ArticleRC PAUL MAKONDA AFUNGUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakati alipowasili kuzungumza na wafanyabiashara wa nyama katika Machinjio ya Vingunguti...
View ArticleKIKWETE: BRN ILINIWEZESHA KUONGEZA UFANISI, UWAJIBIKAJI NA MAENDELEO KATIKA...
Na Mwandishi MaalumRais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameshiriki katika Mkutano wa Masuala ya Afya wa Mawaziri ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Harvard wa Harvard Health Leaders' Ministerial Roundtable,...
View ArticleNAPE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI ( CDF CUP -...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam....
View ArticlePINDI CHANA AKUTANA NA UONGOZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD NA PEOPLES MEDIA LEO
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Meneja Rasilimali watu wa zamani wa Uhuru...
View ArticleLUHWAVI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watumishi wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Siasa na Ushirikiano wa...
View Article