Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA KUPAA KWA BWANA KATIKA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AMUWAKILISHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI MAZISHI YA LUCY KIBAKI NCHINI KENYA

Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya. Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA AZANIA YATOA MSAADA WA MILIONI 5 KWA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA YA...

 Mkurugenzi wa Mikakati na Biashara wa Benki ya Azania, Mwanahiba Mzee (kulia), kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, akimkabidhi kiongozi wa wagonjwa wa ndani wa Hospitali ya Rufaa ya Amana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AKABIDHI HATI 92 ZA KIMILA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ISSA MICHUZI APATA MSIBA WA KUFIWA NA MTOTO WAKE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AKUTANA LEO NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN, BALOZI MATHIAS...

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Balozi Mathias Chikawe akisaini kitabu cha wageni, alipofika kumuaga Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAFIRI WA MABASI YATUMIAYO NJIA MAALUM JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA KESHO MEI...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) Bw. Giliard Ngewe (Kulia) na Kaimu Mtendaji Mkuu DART Bw. Ronald Lwakatare wakimkabidhi leo leseni ya usafirishaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKAGUA DARAJA LA NYERERE...

 Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipowasili kukagua daraja lla Nyerere, leo Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE, KIGAMBONI, DAR ES ASALAAM, LEO

NA BASHIR NKOROMOMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, leo amekagua Daraja la Nyerere, Kigamboni, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kuona mafanikio ya utekelezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHAVI AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA CHAMA MKOA...

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akivishwa Skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Omari Salum, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, Wilayani Kibaha mkoani humo leo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA UGANDA YOWERI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WENGI WAIBARIKI BAJETI WIZARA YA AFYA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akihitimisha majumuisho ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma usiku huu. Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF LINDI YAWAPA ELIMU YA TOTO AFYA KADI AKINA MAMA WA HALMASHAURI YA (W)...

 Meneja wa Bima ya Afya Mkoa wa Lindi akitoa elimu ya mpango mpya na wa gharama nafuu utakaomuwezesha mzazi kumlipia bima ya Afya mtoto chini ya miaka 18 unaojulikana TOTO AFYA KADI,kwenye kliniki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jijini Kampala mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uapisho wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAKANUSHA UTAPELI

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimelaani vikali tabia ya baadhi ya watu wanaotumia vibaya jina la Chama hicho kuwatapeli wananchi kutoa fedha ili wapatiwe nafasi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AONDOKA KAMPALA NA KUREJEA NYUMBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Kikundi cha ngoma za asili cha Entebe nchini Uganda wakati akiondoka kurejea nchini. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, RAJAB LUHWAVI WASILI TANGA, ASIKILIZA...

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisalimiana na Kada wa CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>