MAMA MARIA NYERERE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE LEO
Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Maria Nyerere ametembelea Daraja la Nyerere linalounganisha eneo la Kigambaoni na Kurasini Jijini Dar es salaam na kuipongeza serikali na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akifungua, Mkutano wa Watunza kumbukumbu Jijini Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mshauri Mkuu wa Chama cha wataalamu hao na Afisa...
View ArticleDC HAPI ATEMBELEA WANANCHI BUNJU, MBWENI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh. Ally Hapi leo amewatembelea wananchi maeneo ya Bunju na Mbweni waliokuwa na kero mbalimbali.Katika eneo la Bunju Kilungule, baadhi ya wananchi...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MOSHI ,NOVATUS MAKUNGA AJIONEA ATHARI YA MAFURIKO
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza jambo na wataalamu alioongozana nao katika uwanja mdogo wa ndege wa Moshi kwa ajili ya kuruka na ndege ndo ya Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA)...
View ArticleRAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS VLADMIR PUTIN WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi...
View ArticleDC WA KINONDONI HAPI AANZA MAPAMBANO DHIDI YA WATUMISHI HEWA, ABAINI 89...
DC wa Kinondoni Salum Hapi akizungumza leo ofisni kwakeNA BASHIR NKOROMOMkuu wa Wilaya a Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi amesema, Serikali katika wilaya hiyo imebaini kuwa imepoteza zaidi ya sh....
View ArticleVIONGOZI WA KISIASA WAFANYA BIASHARA,WATAKIWA KUWAJALI NA KUWATHAMINI WATOTO...
Wanafunzi wa shule ya msingi Mreyai iliyopo wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini ugeni wa kaimu katibu mkuu uvccm taifa Shaka Hamdu Shaka wanafunzi na ugeni ukisikiliza Risala...
View ArticleUVCCM: SUMAYE HUNA VIWANGO VYA KUMKOSOA RAIS DK. MAGUFULI
KaimuKatibu Mkuu UVCCMNa Woinde Shizza, KilimanjaroUmoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo...
View ArticleMWANAHABARI MTOTO NA MWANAMAZINGIRA WA UN, GETRUDE CLEMENT AWASILI JIJINI MWANZA
Shujaa Wetu, Mwanahabari Mtoto, Mwanamazingira Balozi wa Umoja wa Mataifa UN kutoka Mwanza Tz, Getrude Clement (16) jana amewasili nyumbani Jijini Mwanza majira ya saa tatu usiku na kupokelewa kwa...
View ArticleHALMASHAURI ZA MASASI, NANYAMBA KUANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UIMARISHAJI...
v class="separator" style="clear: both; text-align: center;">MKUU wa Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, Christopher Magala akizungumza wakati wa kuhitisha mafunzo ya utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi...
View ArticleWANANCHI JIJINI MBEYA WAJITOKEZA KUPATIWA DAWA ZA KINGA TIBA KWA MAGONJWA...
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akitoa Dawa za kinga tiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa wananchi wa Jiji la Mbeya katika eneo la kituo cha Mabasi madogo(Daladala)Kabwe April...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI CHA MAKAMANDA WA POLISI,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamanda wa Polisi, Wanasheria wa Serikali, Wafawidhi wa Mikoa na Wakuu wa upelelezi wa Mikoa na Vikosi kabla ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo...
View ArticleSHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ATUNUKU VYETI KWA WASHIRIKI WA KAMPENI YA SIKU 10...
iv class="separator" style="clear: both; text-align: center;"> Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akitoa vyeti kwa wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zilizosaidia katika kampeni ya siku...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA...
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya...
View ArticleSHEREHE ZA MEI MOSI ZANZIBAR ZAFANA SANA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakinyanyua mikono juu kuashiria Mshikamano wakati wa sherehe za kilele cha siku ya...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) MANGULA AKUTANA NA WAZIRI MAMBO YA NJE KUTOKA...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo wa CPC Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma ambapo walizungumzia mahusiano imara kati ya Tanzania na China pamoja na...
View ArticleKESSY: WABUNGE WAPENDA RUNINGA NENDENI SALUNI
kaimu katibu mkuu wa UVCCM taifa Shaka Hamdu Shaka akiwa ananyesha baadhi ya kadi za chadema ambazo zilirudishwa katika mkutano huo wa adhara Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Ndg SHAKA HAMDU SHAKA awataka...
View Article