CLOUNDS MEDIA WAKUTANA NA BALOZI TOVAKO MANONGI MAREKANI
Mwakilishi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mhe. Balozi Tovako Manongi akimkaribisha Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga nyumbani kwake siku ya Jumamosi April 23, 2016 siku...
View ArticleANDIKO LA RAIS MSTAAFU DK. JAKAYA KIKWETE KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA...
Rais Mstaafu, Dk. Jakaya KikweteRais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ametoa andiko lake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani. andiko hilo ambalo ameliandika kwa lugha ya Kiingereza na ambalo limo...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA ALLY...
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akikagua matengenezo ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa wilaya Kinondoni Ally Salum Hapi wa kwanza kulia...
View ArticleRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEUA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara.Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu...
View ArticleRAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE WA RAIS WA CHINA , UJENZI WA RELI MPYA SASA...
China imekubali kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometa 2,561 kwa kiwango cha kisasa yaani "Standard Gauge" ambao zabuni za ujenzi...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA KAMISHNA MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA MTENDAJI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini.Taarifa iliyotolewa leo tarehe 25 Aprili,...
View ArticleRAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA TCRA NA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU TCRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Ally Yahaya Simba...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM , RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AWASILI NCHINI AKITOKEA CHINA
Mwenyekiti a CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea nchini China alikokuwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LUCY KIBAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, kufuatia kifo cha Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya Mama...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA KILIMANJARO LANASA BHANGI MISOKOTO 4500,BASTOLA...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi ,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto ya Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika kufanikiwa kuwakimbia askari Polisi.Kamnad wa Polisi mkoa wa...
View ArticleDK.SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MAREHEMU ABDALLA MOHAMD MSHINDO(M\KITI CCM)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa...
View ArticleRC RUGIMBANA AONGOZA KONGAMANO LA MIAKA 52 YA MUUNGANO UDOM
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana akizungumza na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM -UDOMASA), wakati wa mdahalo wa miaka 52 ya Muungano uliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga...
View ArticleDC HAPI AKAGUA MIRADI YA MWENGE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Salum Hapi akikagua miradi mbali mbali itakayozinduliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru katika kata zilizopo wilaya ya Kinondoni. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WAPYA WA MIKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA TAWLA NA UONGOZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na uongozi wa Baraza la Wanachama waChama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wakati Uongozi huo ulipofika...
View ArticleUSAID WAZINDUA MRADI WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA MKOANI MTWARA LEO
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma, unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa...
View ArticleCCM ZANZIBAR YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TSH MIL.5 KWA WAHANGA WA MAFURIKO NA...
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Bi, Waride Bakar Jabu akimkabidhi misaada Katibu mkuu wa ofisi ya makamo wa pili wa rais, Joseph Abdallah Meza huko kwa ajili ya...
View Article
More Pages to Explore .....